Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The ultra modern hospital in east and central africa anaebisha asemeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡
 
The biggest cancer institute in east and central africa anaebisha pia asemeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
DAR MOST ECONOMY IS FAIRLY DISTRIBUTED SI KWENU YAMEJAA MABEBERU NA MABEPARI WENGINE MNALIALIA MNAISHIA KUKIMBIA NYIKANI (MARATHON) AU KUOLEWA NA WAZUNGU

Kweli aisee wanawake wanajikomba waolewe na wazungu, sasa shughuli inakuja kwa wanaume coz ni wachache wanaokubaliwa so wakageuzwa mashoga mpaka wanawake waliobaki wanalalamika na kuandamana
 
Ichoboy wacha tuanze na Somalia inapakana na Kenya so somalia is of geographical importance to Kenya na tunashare makabila na Somalia na Somalia ikikuwa unstable the spillovers will spread to Kenya ulitaka tuongoje alshabaab ikite mizizi Somalia ingie Kenya ndio tuact??? na ni kitambo sana usikie kdf wameuawa na alshabaab na bdo haujanijibu mbona hyo miaka yote hamukukuwa usiniambie mlikuwa mnapigania watu vita na tz inakuwa kwa upesi cjakataa na unafikiri Kenya imesema imengoja tz ifike itupite sisi pia tunakuwa kimaendeleo
 
Kweli aisee wanawake wanajikomba waolewe na wazungu, sasa shughuli inakuja kwa wanaume coz ni wachache wanaokubaliwa so wakageuzwa mashoga mpaka wanawake waliobaki wanalalamika na kuandamana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
America aliposhindwa vita somalia akaona atafute nchi iliokana na somalia akaona ni nyie ndio akawageuza chambo kwa maslahi ya america, sasa leo hii munalizwa na alshabab mpaka kwenye ardhi yenu sikwambii wale wanajeshi wenu wanaochinjwa somalia kama kuku

Hawa ndio alshababπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
Leo unataka kusahau vita vya alshabab mulivitaka wenyewe na bado mapema tu wanawapiga kwa kuwashtukiza bado kisago cha moja kwa moja

 
Tell me, tulijuaje na mnasema hatusomi African history? We also know majimaji war initiator, Julius nyerere ,his successor mwinyi .Sielewi kwa nini mnasema tunasoma Western history only.
Inategemea mnasoma historia iliyoandikwa na nani. Angle.
 
ichoboy you can do better than this i know you are smart hyo tweet ni mwaka gani 2014 na hayo marefugee uhuru aliwafukuza kitambo warudi kwao huwa unaona news za kenya inafaa ujue hyo ichoboy ama hakuona hyo somalia is a matter of national security to kenya it pose a threat to kenya as simple as that ichoboy swali langu bdo nategea jibu
 
Alshabab wamemteka mumebakia kukamata watu wasio na hatiaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…