Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anarusha picha ili adanganye wasiojua wajue pale ni nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hapo ni wapi? For your information that is JKIA-Rironi. Sisi hatujengi flyover moja alafu tunaanza kelele.
 
Tukianza kuleta renders humu si mtatoroka [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeona render kama konza tatu city miaka zaidi ya 7 hata makamasi hayajatutokaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Kwani hapo ni wapi? For your information that is JKIA-Rironi. Sisi hatujengi flyover moja alafu tunaanza kelele.
Lazma mujenge flyover nyingi kwasababu mji mumeufinya sehemu moja hamuna njia mpya munaenza anzisha tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani hapo ni wapi? For your information that is JKIA-Rironi. Sisi hatujengi flyover moja alafu tunaanza kelele.

ulimaanisha hii ukaweka nyingine
hahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha urongo chalii

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…