Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

First compare this to Dongo Kundu in Mombasa, Second, we don't deal with renders here[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona render imekuchanganya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ujenzi unaendelea tena kwa kasi. Very soon construction ya flyover nyingine sehemu mbili tofauti inaanza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tuliza mshono๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tukianza kuleta renders humu si mtatoroka [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona render imekuchanganya[emoji23][emoji23][emoji23]Ujenzi unaendelea tena kwa kasi. Very soon construction ya flyover nyingine sehemu mbili tofauti inaanza[emoji23][emoji23][emoji23]Tuliza mshono[emoji23][emoji23]
 
Wamechakaa yani hata pesa ya kuingia studio za adabu hawana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
My poor friend kuna kitu inaitwa creativity na target audience kwa any business venture with an aim to reduce cost at the same time maximise revenue tena hao ni watoto wa High School.
 
ichoboy pls usitumie maneno makali...utafanya comedian mwaswast aka inspector mwala atoe machozi.
Kumbe unamfahamu na unamfuata Inspector Mwala? Kenyans are famous in Tanzania, mie sijui hata comedian moja wa bongo hebu weka kadhaa niwatambue.
 
Hebu tupe show hawa wanamuziki wenu wanafanya kokote Tanzania if at all there is any.
 
 
Kumbe unamfahamu na unamfuata Inspector Mwala? Kenyans are famous in Tanzania, mie sijui hata comedian moja wa bongo hebu weka kadhaa niwatambue.

Muda ukifika utawajua tu,wala haiitaji nguvu.

Kwani hata kabla ya hii battle ulijua dar imekuwa ya kuicha nairobi???
 
Anarusha picha ili adanganye wasiojua wajue pale ni nairobi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndo maana nkauliza maelezo kwamba ni Kenya hii hii au nyingine maana sijawahi kuiona hii picha humu na kila siku wanarudia mapicha yaeyale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ