Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kweli.jiji la nairobi lina kilometa ngapi za barabara za lami.na dar pia ina km ngapi pia?lete ushahidi.
 
Kwa haya maswali yako unatuaibisha watanzania hapa labda kama umri wako ni chini ya 18 utaeleweka. Ila kama umezidi hapo hata wanaokusapoti hapa watakuwa wanaona aibu
Npo nairobi mpk ss hapa kamkunji.ukweli ni kuwa dar ipo juu sn afrika mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…