Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walitegekea kulia sasa wamepata kushoto 👇👇👇👇👇😂😂😂




Nchi zinakwenda mbele wao wanarudi nyuma miaka 100👏👏👇👇👇

 
Lol......you can't determine a country's output by taking ppp multiplied by population.....where did you learn vodoo economics.
Yaani unaishiwa hata point. Do you know what is Per capita!?
 
Haya ni makosa watanzania wengi wanafanya. Hawajui tofauti ya r na l ndio maana nikakuuliza. Sijui kwa nini umeleta maana ya dhahiri sikuwa nimeuliza. Mnaweza shindwa na wanyarwanda swahili
Lakini huwezi kupinga ukweli kwamba kiswahili huzungumzwa zaidi Tanzania kuliko nchi yoyote duniani,kukosea l na r si jambo la msingi saana,even Americans huchanganya baadhi ya maneno ya English, lakini wao wanazungumza english nzuri kuwazidi waingereza wenyewe..
 
Upo sawa mkuu, kipindi hicho Oscar kambona ndio alikua Katibu wa ukombozi. Hawa majamaa sijui wanasoma historia ya wapi naona wamekushambulia kama vile uliongea uongo
Jamaa uko vizuri,Kenya wanasoma historia ya waingereza tu,hawana historia yoyote kuhusu afrika kwenye syllabus zao...that is real a failed state!!
 
Do you think we are unlettered or what? I told you are ahead of us in purchasing power parity (PPP) but it's only a slight difference. GDP (PPP) per capita you are behind Kenya.
Acha wehu. Unajua hata per capita inapatikana vipi!?
 
This is primitivity, L and R are simple letters that should not confuse you, unless you didn't go to school or you went but you were not told their difference as we all know your education is shit.
 
Yeah kinjikitile ngwale alikuwa ni miongoni mwa viongozi waliokuwa na akili sana,waliowahi kutokea Tanzania,kitu usichoweza kufikiri ni kwamba kinjikitile alichukizwa na utawala wa wajerumani lakini uwezo wa kupambana na hakuwa nao yeye na watu wake kutokana na wajerumani walikuwa na siraha za kisasa kabisa,siraha za moto!..kitu alichotumia ni kuwatengenezea confidence watu wake,alitazama imani za watu wake kwa wakati huo,waafrika waliamini sana mizimu,hivyo akatengeneza kitu kama dawa ya kiasili(kiganga) akawaambia watu wake wavae then waende vitani wakitumia siraha zao za jadi kama vile panga,shoka n.k,aliwaaminisha watu wake kuwa wajerumani wakipiga risasi wao wasiogope watamke "maji" mojamoja kwa moja ile risasi itageuka kuwa maji!wakafanya hivyo na wakafanikiwa,japo walikufa wengi lakini vizazi vyetu watanzania tunajivunia ushujaa wake..
 
This is primitivity, L and R are simple letters that should not confuse you, unless you didn't go to school or you went but you were not told their difference as we all know your education is shit.
Your education is good..
Meanwhile your national language is english....
 
This makes no sense .smh. Were there no other options? He made them to risk their lives without them knowing. I guess he also believed that the water was going to prevent them for sure
Okay lemme ask you something..
For you..
Death or to be a slave?
 
Kwa akili yako unafikiri walikuwa wanatawala tawala tu ovyo ovyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…