Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utaua ndugu. Sasa hivi wakenya wapo na mchecheto mkali sana. Yule wa iPhone 7 tulimgonga mchana na amekimbia kabisa.
Heheheheh miaka 10 tu tumejenga nchi na bado tunajenga mara mbili ya sasa hvi
 
Sasa ataua
Utaua ndugu. Sasa hivi wakenya wapo na mchecheto mkali sana. Yule wa iPhone 7 tulimgonga mchana na amekimbia kabisa.
nini hizo vitu Kheri Mombasa Mara 10! Hivyo sio vitu utafananisha na Nairobi, a Global City!!!!
 
Utaua ndugu. Sasa hivi wakenya wapo na mchecheto mkali sana. Yule wa iPhone 7 tulimgonga mchana na amekimbia kabisa.
ilikuwaje comrade kuhusu watchman?. nipe japo kwa muktasari nami nipate kucheka.[emoji23]
 
Annael kwanza huwezani na facts...ety nlitoroka I was very busy...kadoda umekuja na uchokozi picha yako next inaload..at least annael ckuhizi anajua cha kusema...wewe I'll deal with u meticulously
 
Annael kwanza huwezani na facts...ety nlitoroka I was very busy...kadoda umekuja na uchokozi picha yako next inaload..at least annael ckuhizi anajua cha kusema...wewe I'll deal with u meticulously
Heheheehehe Mzee wa iPhone 7 karibu sana😀😀😀😀😀😀
 
Annael kwanza huwezani na facts...ety nlitoroka I was very busy...kadoda umekuja na uchokozi picha yako next inaload..at least annael ckuhizi anajua cha kusema...wewe I'll deal with u meticulously
Jamaa anapiga mikwara[emoji38]
 
Mmeshajua
1.Nairobi GDP = $40b Dar = $7 b
2.HNWI Nai=6500 Dar= 1200
3.Super highways Nai=3 Dar = 0
4.Airports Nai= 3 Dar=1
5.CBD's Nai=3 Dar=1
6.Malls Nai=over 30 Dar= about 10
7.footbridges Nai=55 dar = 5
8.BRT Nai = 0 Dar =1
9.multinationals Nai= 70 dar= 0
10.embassies Nai= 64 dar= 28
11.has a beach Nai= No Dar= yes
12.Has a National park Nai=yes Dar= No
13.slum residence Nai= 40.77% Dar=73.67 %
Kelele za vuvuzela hazinaga maana...mlete facts hapa
 
could be your girlfriend i think.her name sounds a bit a difficult to pronounce.
naah. ukitaka kumuona we enda google utamuona. anahitaji sana marashi ya Chibu. Mawe Sepe2 is gonna be my next ex-gf
 
Hahaha we jamaa GDP unajua ni kitu gani?unahamisha tu kama fala
 
#2..Dar 2400
#4..1 another U/C to be open December 2017
 
Karibu kila kitu ni uongo umeandika, wewe ndio vuvuzela...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…