Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kujidanganya na kicheko, tell me the meaning of "NAIROBI'S ONLY THREAT" first, ndo tuendelee.
Nairobis only threat nani huyo ni threat mbona hukumtaja ili watu wajue hapo sio nairobi kwasababu sio wote wanajua kua hio ni adis😂😂😂😂
 
Umejiona venye wewe ni mjinga sasa? All along you have been spitting nonsense here.

Munakimbilia picha za miji ya watu ya kwenu imekushindeni pambaneni na hali zenu hakikisheni maji yanapatikana nairobi slum za kidunia zinaondoka, njaa inaisha😂😂😂😂😂😂
 
You need to go back to school, ulifika darasa la ngapi? The apostrophe mark has taken care of Addis Ababa unless you wanted me to make repetition.

Hapa wapi nairobi au adis hebu tuambie😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇
FCF67ED4-0F06-486F-A371-7EB6109F5723.jpeg
 
Nairobis only threat nani huyo ni threat mbona hukumtaja ili watu wajue hapo sio nairobi kwasababu sio wote wanajua kua hio ni adis
Nimekuambia there is nothing called Nairobis. Ungekuwa mjanja ungenyamaza tu kwa sababu you are exposing you stupidity.
 
Nimekuambia there is nothing called Nairobis. Ungekuwa mjanja ungenyamaza tu kwa sababu you are exposing you stupidity.
Wewe usibadilishe mada kama kuelewa umeelewa sana usijifanye unajua kukosoa sana hata mugabe aliwaambia nyinyi ni watu wakuhamisha visivo hamishika
Sasa tuambie na tu wasikie hapa adia au nairobi 😂😂😂😂👇👇👇
91BBA4E7-1CF0-4935-91B4-1471C97788D7.jpeg
 
The Education system of Tz is wanting. Ama wanafunzwa English kwa Kiswahili pia.

Na education yenu vp magorofa yanaanguka kwa vile walikwenda kujifunza kiingereza tu alaf anasimama engineer anakwambia gorofa ilianguka kwa sababu ya upepo na huku inajengwa 😂😂😂😂 hata wale wachumu wa kq walioshauri direct flight to newyork everyday vp wamesoma kweli???
 
Back
Top Bottom