Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijatoka nje ya mbezi beach wanjala kashindwa kutoboa mwengine kabakia kuokota picha za google mpaka za hote akaanza kupost[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Buda umeshindwa vibaya sana...sijaona mtu akishindwa hivo...you have disappointed your brothers...LOSER
 
Buda umeshindwa vibaya sana...sijaona mtu akishindwa hivo...you have disappointed your brothers...LOSER
Naona unalazmisha ushindi huku ukilia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Kupanic ni wewe ..kenye mombasa imekufanyia hadi ukadhani ni Oman...umenibamba buda
Mwenzako nae anapost hotels yani yeye anachanganya akiona picha yoyote ya google anachukua tu hajaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
The biggest cancer institute in east and central africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Yaani hawataki kuamini....kenya nzima imekuja hapa kucompete na king of Africa DAr es Salaam City

Leo nimecheka sana county zote wanazipambanisha kwa Dar[emoji1][emoji1][emoji1] ,,wacha tuendelee kuwaenjoy
Kweli dar imewakalia kooni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mwenzako nae anapost hotels yani yeye anachanganya akiona picha yoyote ya google anachukua tu hajali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Umeshindwa kaka blaza ata uongee na haga umeshindwa wanjala amekupea dawa ..Yani ukadhani mombasa ni Oman kwa babu yako....haha u made my night
 
Umeshindwa kaka blaza ata uongee na haga umeshindwa wanjala amekupea dawa ..Yani ukadhani mombasa ni Oman kwa babu yako....haha u made my night
Ukhekhekehe leo nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ nimefurahi kuona mlivokwenda mbio yani mbezi beach alone imewatoa raha mwengine kaleta mpaka hotels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…