Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where are they??? Was signed but ni render sawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘ tatu na konza wapi???? Wapi likoni bridge inapumulia mipira ya mikojo😁😁😁
 
UMEONA TRENI YAO YA SGR πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
NDOMANA JIWE KACHAGUA WATURUKI
Ndio ni treni amabzo mchina alitumia 100yrs ago leo amewaletea wakenya tena kwa mkopo wenye riba kubwa sana πŸ‘πŸ‘πŸ‘ kwa jina rahisi tunasema wakenya wamekalia kuti kavu😁😁😁
 
WAKENYA HUWA WANAPANIKI NA KUANZA KUTUKANA WAKISHINDWA NA HOJA
HAHAHHAAHAAAAA
 
Ndio ni treni amabzo mchina alitumia 100yrs ago leo amewaletea wakenya tena kwa mkopo wenye riba kubwa sana πŸ‘πŸ‘πŸ‘ kwa jina rahisi tunasema wakenya wamekalia kuti kavu😁😁😁
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Amejiunga na jf juzi. Ndio anajifunza kuandika
Most of these Tanzanians in JF doesn't know how to write. They have been saying here that English is not a measure of intelligence and I agreed with them, today I'm also waiting for one to tell me that writing isn't also a measure of intelligence.
 
Jamani nisaidieni kutafautisha render hii na picha hzi kuna nini kinaendelea hapa 7 yrs nowπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Render







Picha ya tatu sasa hviπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
I may be arguing with a madman without knowing, let me zip my lips.

Ahahah wakat mwingine acheni ujinga wewe unanionesha nn hzo wakat still hata real construction hamujaanza na leo 7 yrs alaf bado unaoanua mdomo na tatu au konzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Where are they??? Was signed but ni render sawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘ tatu na konza wapi???? Wapi likoni bridge inapumulia mipira ya mikojo😁😁😁
Njoo kwangu uwe mke wa kwanza hahaaaaaa
Punguza mdomo kwanza, hebu tuelezee haya yanayojiri pale Tanzagiza. Nasikia ni kubayaaaaa
Katika gazeti la Daily News la tarehe 12 November 2018 kuna tangazo kutoka TRA kuwa vifaa vinavyotakiwa kutumika kwa ujenzi wa reli ya Standard Gauge ambavyo vipo bandarini vitapigwa mnada endapo vitashindwa kulipiwa ushuru.
Je hii inaamaanisha mkandarasi ameshindwa kulipa ushuru ?
 
Leta source official alaf nitag tuanze kujadiliana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Wanapata lesson from tanzania and now rwanda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ failed state

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…