Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnatuletea waislamu weusi wa bongo mnasema waarabu..iyo ujinga sitakagi
PovuuuuuuuuuuuuuuuuuuοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
We hujui kama mtoto wa mmoja wa mfalme wa Saudia alikuja Tanzania juzi kati kutafuta opportunity ya kuekeza in oil au nikuoneshe
 
Mnaanza nini na mlipata independence mbele ya kenya
Tunakubali tulikua tumelala miaka ila 10yrs tumeamka lakini sasa sleeping giant kaamka ndo mambo yenyewe hayo unaona kamba shingoni na sasa hvi Tanzania wasomi wengi sana sio kama huko nyuma na Siku zote nakwambia tumejenga hii nchin with 10 yrs my friend hahahhahahah its not a joke
 
By 2017 Kenya has 9400 millionaires..6100 in Nairobi..Nairobi alone beats the rest of east africa... Mombasa has 1000 ...the rest of Kenya without Nairobi and Mombasa in millionaires beats Tz.
Rushwa nyingi huko....sishangai...ndo maana Nairobi is top 3 among most expensive cities in africa..kuisha ni shda sana..things so expensive
 
Haha shida Kenya inajenga na kasi kuwashinda...mkimaliza sgr hadi morogoro sisi tumeifikisha malaba Uganda waendeleze hadi kampala
 
Baba pole sana economy ya Tanzania sio ile 45 billion hahaha muulze mwenzako nilimuonesha economy ya 2016 kaangalie vzr katika economy mumetuacha gap dogo sana yani within 3 yrs tunakula kamba moja
Alafu nani alikwambia Tanzania 860000 km transport pole yako baba unachukua statistics za 2000 hzo hehehe yani huu mwaka unaitwa unbelievable year
Kazi unayo sana na bado tunaendelea hehehheh
 
Haha shida Kenya inajenga na kasi kuwashinda...mkimaliza sgr hadi morogoro sisi tumeifikisha malaba Uganda waendeleze hadi kampala
Kwakwakwa hio yenyewe mpaka Leo haijaanza kazi 4 yrs Leo hahahaha sisi tumewapa 2.5 yrs na yakwetu inajengwa na nchi mbili turkey na Portugal hahaha Alf kumbuka yetu ni electric my friend the second fastest train in africaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unajua shidaako hu comprehended vi2 haraka...sgr ya Kenya ni double..yenu single...Mombasa to Nai ni ki2 500 km yenu itakua 300km..alafu terrain ya Kenya maze haikua friendly
Lastly shamba huku haimilikiwi na serikali wa2 inabidi walipwe kwanza.ata 4 years tumeharakisha
 
By 2017 Kenya has 9400 millionaires..6100 in Nairobi..Nairobi alone beats the rest of east africa... Mombasa has 1000 ...the rest of Kenya without Nairobi and Mombasa in millionaires beats Tz.
Unajua wewe kuna kitu hua unashindwa kuelewa nilikwambia Kenya is leading with a gap of rich and poor in the world, sasa watu wanaoishi middle income Tanzania ni wengi sana kuliko Kenya ndio maana nakwambia ukali wa maisha Kenya ni mkubwa sana sana
 
Kwan uliambiwa sisi tunajenga 300 tu mbona zabuni ya 330 km muendelezo ishatolewa tyari wanangojea kutangaza nani atapata hio kazi baba Tanzania haijalala tunajenga 630 kwa mpigo na kwa awamu tofauti tofauti kua mpole hahahhaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…