Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hv nikuulize..kutokuwa na slum kubwa duniani..ndio vigezo vya nchi kuongoza kw ubora duniani...sitaki mihemko hapa wala povu[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
ebu uliza maswali yenye mantiki..
 
Haya tuoneshe na siku mukifika level ya kupata pedestrian path along ocean or lake tag me bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hhhh!!!level gani hyo na ni kujisifia ujinga...km primo ziko..sasa si ni ujinga tu
 
Tunaiombea...thats vice versa..wacha kuwa mnafik....endeleeni kutetea mashoga tu...mtakuwa developed soon km USA
 
Jibu swali langu...
Nikujibu nm we huoni wazungu wakicheza ngoma na hapo sijaona slum bado lakini watu wa kibera wamekasirika kuskia kibera pia ni national parkπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ahahahah nataka kujua bei ya KPA ninae mteja tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ...ukiitaka utapewa tu..bora hela zako...ila serikali wanadunga share zao utabaki kushangaa vp tena...
 
Hhhh!!!level gani hyo na ni kujisifia ujinga...km primo ziko..sasa si ni ujinga tu
Ahahaha hamutakua nayo mpaka yesu ashukeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
India novermber and china feb tatizo liko wapi kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vp newyork flight sahii inabeba nzi kwenye ndege tu

45 passengers from new york to nairobi ahahahahah kweli mumeshangaza ulimwengu
Leta ya week hii..nangoja..au bado hujapata tweets za wakenya
 
Tunaiombea...thats vice versa..wacha kuwa mnafik....endeleeni kutetea mashoga tu...mtakuwa developed soon km USA
Munaomba nn nyie roho mbaya inaanzia nyie kwa nyie sumu ya ukabila ikiwamaliza kila leo
 
Alaf kweli njaa itawaacha salama??? Pesa za kununua chakula cha nchi pia zinaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Utaomba sana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…