Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chooboy huwa unaropokwa sana .mbona wasingizia Uhuru?
Uhuru si ndio alieuza nchi kwa madeni we huoni leo KPA inauzwa na Bank of kenya inauzwa piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf robo ya kenya ni yake uhuru robo nyingine ni ya white settlers
 
Hebu niletee ushahidi kwamba robo ya Kenya ni ya Uhuru na robo ya whites. Na hili jambo la kuleta evidence mmeshindwa.
 
Kwao ni sifa kwasababu ni moja ya attraction of tourismπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ japokua walikasirika kuambiwa kua wanataka kuifanya kibera kua national park

Kha! Hii nayo kali
 
Usinilazimishe kukubali vitu visivyoeleweka. Niletee ya mzungu tutamatishe huu ujinga wako
Ahahahahah usikubali nn sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Twende taratibu nyakoo maber
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…