Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie wakenya hio sio cbd, masaki iyo nadhani nyie mnadhani subarb ni zile nyumba zinafanana pekee, uku bongo unanunua kiwanja unaendeleza unavyotaka kwa kufuata utaratibu wa eneo husika...endeleeni kujibamba
mbona unanyaba???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…