Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

waambie watoe hio bandari alaf uone mombasa inabaki na nini[emoji23][emoji23][emoji23] yani hakuna maendeleo mombasa ni mji ulionza kujengwa enzi na enzi lakini hakuna kimoja chenye maana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taja kampuni zenye ziko dar+plus real estates,infrastructure,hotels tupambanishe
 
kisumu ina qualifies gani kua city??? and what about mombasa ukitoa port ambayo tayari mushatangaza kuiuza kisa madeni yametengeneza funza matakoni???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hhhhh!!!kwhyo port ndio mombasa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...ni sawa na kusema dubai ni burj khalifa..
 
Andamaneni nyie wenye maisha magumu,njaa kali,hamna ajira,sisi huku freshi maisha yetu si magumu kama mnavyodhani, tuandamane nini sasa?..
Hhhhh!!!mnaogopa kuandamana...yani siku mkijaribu jiwe atawapa kila mtu risasi ya kichwa..mnacheza na dictator nyinyi
 
Kenya bil 72 USD
Tz bil 54 USD
Economic growth kenya 3% Tanzania 7.2%
Get prepared..
Hyo gdp ni ya lini...
Na hyo growth 7% mvna sielewi mimi...tangu 2016 mnachezea 50s
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MN

kwani gdp yetu ilipungua from 88 to 72 lol.....
Haijawahi kuwa 88 never,IMF wenyewe wanashangaa inakuwaje kenya wana GDP ya bil 88 usd!!..katika ripoti yao ya 2017 wametoa Kenya ikiwa na GDP ya 72 USD bill,ikifuata tz ikiwa na 55,huku Nigeria ikiongoza,inafuata afrika kusini,Egypt nafasi ya tatu,tell 'em your fellow Kenyans that "economic analysis is not for everybody, knowing how to upload a picture in jamiiforums,helps nobody to put themselves nearby the economic issues!
 
Sawa tumeshajua ldc hii kwao ni good life[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mabanda vya nyuki sio siri mnamazingira machafu sana mabovu yaani 70% yawakenya ni machokoraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…