We kumbe mshamba sana...umeona mtoto gani hapo akilalamika...km hujui ulizaI get it but why blatantly terrorizing kids with a weapon? How about concealing it?
umepata link inayosema kq inamiliki ndege hehehe ikwap tag me plz😂😂😂👏👏👏👏Kuona nn tena...umeshindwa hhh!!!,
Kw sisi hatukufanya huo mitihani..hawa majamaa washamba sana...you clearly don't know students' psychology









28 floors eh!!!!
agiza maziwa,upoze maumivu.
Tangu lini mtoto akawa na uwezo wa kupambanua mambo kama mtu mzima?We kumbe mshamba sana...umeona mtoto gani hapo akilalamika...km hujui uliza
Hii sio daladala bro. Manyanga moja ni bus mbili za Brt. Watu hutoka Uganda na Ethiopia kukuja kuzipanda tu, tembea kenya.View attachment 918241








Hiyo ndo so called Matatu. Zina kuwa na bed bags sio mchezo😂😂😂Na hii imetoka shimoni.
yaani nchi yenu kiukweli ina matatizo, mwanafunzi afanye mtihani na risasi anaiangalia. Ok, hata kama ni protocol ya hao mapolisi, so wakimkamata mwanafunzi anacheat watamshoot?Kw sisi hatukufanya huo mitihani..hawa majamaa washamba sana...
Tatizo ziko na bugs😂😂😂Acha leo niwapandishe Manyanga. Ichoboy hii huwezi pata kwa daladala zimechakaa za dar.
View attachment 918218
Hii itakuwa na 30 kg ya bugs😂😂😂Made in nairobi
View attachment 918150
mpe hii kaka😂😂😂😂👏👏👏👇👇Hapo ni Ubungo. Kuna largest Bus stand in East and Central Africa. Kwa sasa inajengwa interchange hapo😂😂😂View attachment 918199View attachment 918201View attachment 918202View attachment 918203






najua huko Tz ******** akiamka aseme mpake gari zote Dar blue zitapakwa mpende msipende









Sasa ilikuwaje mkachonga zingine kwa ajiri ya BRT ingawa nazo zikachapa,si mnazo nganya mngepaka rangi ya blue tu kazi kwisha![]()
Estates in Eastlando qualify to be cbdz in darislum......Fishing villageView attachment 918215
Kenya sio nchi ya ujamaa ambapo Serekali ndio kila kitu. Manganya ni za mashirika za kibinafsi. Sasa ulitarajia aje tupake rangi za bluenajua huko Tz ******** akiamka aseme mpake gari zote Dar blue zitapakwa mpende msipende
![]()
Uje utoe ushamba kidogo najua hivi vitu ni vigeni kwenu.Hiii ni barabara ama market place