Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaona Annael amepotea ikikuja suburbs.... Utaona ataanza kutuma kibera..hapo ndio utajua mungu hakubariki kila m2 na akili
Nikisoma comment zenu huwa nacheka sana. Nimewaambia muweke picha za maeneo ya normal citizens. Mnagoma kwikwikwikwi.
 
Kwikwikwiiiii naipenda dar lkn hatuifikii nairob kwa kwel,,, Nairob inashka nafac ya tatu kwa mij bora afrika lkn dar ya nane tena tupewa nafac hyo kwa kuw ni mji unaokua kwa kas sana ko bado washkaj tuendelee kuukuza
We unaongea nn
Maana sahv Dsm imeipita nairobi
Na majengo mengi yamekamilika mika hii miwili

Mi kote nimefika vzr2
Nairobi kwa barabara iko vzr sana na mpangilio wa city centre
Lkn DSM habr nyingine ukilinganisha na nai
 
We unaongea nn
Maana sahv Dsm imeipita nairobi
Na majengo mengi yamekamilika mika hii miwili

Mi kote nimefika vzr2
Nairobi kwa barabara iko vzr sana na mpangilio wa city centre
Lkn DSM habr nyingine ukilinganisha na nai
Hampiti Nairobi kwa jambo lolote
 
Dar 70% ni slum hii picha inathibitisha so usianze kujiconsole na tandale....tuma ma suburbs basi na Mimi nizitume pia
Mwenye akili ataangalia jinsi CDB ya dar ilivyo kubwa kuliko ya nairobi
Nairobi CDB yake ni ndogo

Af kingine ni kuwa kapiga from nice part ya Nairobi vs From bad part ya DSM
Maana ata Morocco naa makumbusho ambapo kuna majengo mengi marefu hayaonekani
Narudia tena kwa kusema Dsm ni kubwa sana
 
Kwikwikwikwi. Picha zimepigwa katika altitude tofauti kabisa.
Acha kujiaibisha. Hapa tupo na more than 500 pages huwezi kuja na maelezo simple kiasi hicho. Kila kitu tumeona. Sasa hivi twende kwenye normal life of citizens.
Mixer ni picha ya zamani maana ata PSPF hayakuwepo wala TPA au rita na majengo kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…