Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we huli chips ???? au ni ghali kwenu???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Utakulaje chips wewe mtoto wa kiume..hhhh!!!kumbe hyo jamaa ni kidada cha jf
 
Kenya ukinunua ardhi ni yako milele...na usidanye watu hapa...kenya hulipii mjengo..unalipia biashara...bongo mpka nyumba zenu mnalipishwa kodi...utumwa walai
Acha ujinga wewe, Leo mnamatatizo ya chakula na ukosefu mkubwa wa ajira kutokana na sera yenu mbovu ya ardhi, kila siku jamii za wafugaji wanapigana watu wanauliwa kutokana na dhuluma ya asili ya ardhi Kenya. Tume nyingi ziliundwa ili kurekebisha hiyo injustice, lakini mnashindwa kutekeleza mapendekezo ya hizo tume kwa sababu waliodhulumu ardhi ni wenye Kenya na matajiri wazungu. Lazima mjifunze toka Tanzania otherwise mtaendelea kuuana na njaa haitakwisha.
 
Tuta mta wata....hhhhh!!hili nalo povu...naona siku hz wafugaji wamekuwa wakenya wote...alafu hao wanaouliwa hta wao pia wanauwa watu..kwhyo wacha kuongea ujinga...
 
And what benefit do we get for bending to your demands for evidence?...we have no obligation to prove anything to you,furthermore it is your choice to believe it or not!...go get a hair cut and dont forget to clean downstairs.
Lol
 
Utakulaje chips wewe mtoto wa kiume..hhhh!!!kumbe hyo jamaa ni kidada cha jf
amenishangaza kweli huyo jamaa. yaani kwa jinsi kula chipsi au viazi inavosemekana kuongeza 'wowowo' kwa kina dada zetu,,, kisha anakuja baradhuli mmoja na kusimama mbele ya wanaume na kusema kua yeye anakula chipsi. sasa mimi nashindwa alikuwa na dhamira gani au anadhani tutamchukulia vipi?
 
Siajabu huyu ichoboy anabonge la wowowoo
 
Tuta mta wata....hhhhh!!hili nalo povu...naona siku hz wafugaji wamekuwa wakenya wote...alafu hao wanaouliwa hta wao pia wanauwa watu..kwhyo wacha kuongea ujinga...View attachment 916292
Hao wote msomali alisha dumbukiza copper😂😂😂It seems na wewe unataka kujiunga na hilo kundi la Gaza😂😄😂👆👆👆👆Tafuta ajira.
 
Tuta mta wata....hhhhh!!hili nalo povu...naona siku hz wafugaji wamekuwa wakenya wote...alafu hao wanaouliwa hta wao pia wanauwa watu..kwhyo wacha kuongea ujinga...View attachment 916292
Hona points, wakenya wengi walishaona na kukubaliana na ukweli kwamba lazima sheria ya umiliki wa ardhi Kenya ibadilishwe kutokana na hii ya sasa kuwadhulumu wananchi wengi wa Kenya na kuikabidhi ardhi kwa wanasiasa na matajiri wachache, huwezi kuuza ardhi kama unavyouza gari, ardhi ndio nchi, huwezi kuwa na nchi bila ardhi, sasa kama mnauza ardhi tena kwa wazungu, maana yake mnauza nchi yenu, tumieni akili achenu uzuzu.
 
Halafu ni chipsi na kuku na hajui zimepikwa kwa mafuta ya aina gani. Pengine yako na cholesterol na anakula hiki chakula usiku, hafanyi mazoezi anashinda mitandaoni. Anahatarisha afya yake huyu na hajui .sidhani kama anaelewa maana ya lishe bora.
 
Best wishes to all candidates sitting for KCPE and KCSE exams View attachment 916111
Define the term jubilee, explain why the No of millionaires in Nbo is rising while kibera not getting any better,why there are alot of kenyans infested with jigger despite of having safari boot (a known Kenyan shoes company )
.....

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hao wote msomali alisha dumbukiza copper[emoji23][emoji23][emoji23]It seems na wewe unataka kujiunga na hilo kundi la Gaza[emoji23][emoji1][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Tafuta ajira.
A wapi...huyo afande anacheza anga za Eastleigh...muache aangushe wasomali kule...wakipelekewa afande kutoka jamii nyngne watasema wanadhulumiwa...
Kayole ni hessy
Dandora pia ni hessy
Msa kuna maasai pia na wengine kibao..lkn mi hapo si support..lkn wanachokifanya hao vijana si freshy

Muhumbili 6..hao vijana wakiwakamatia mtajiharia...
 
Halafu ni chipsi na kuku na hajui zimepikwa kwa mafuta ya aina gani. Pengine yako na cholesterol na anakula hiki chakula usiku, hafanyi mazoezi anashinda mitandaoni. Anahatarisha afya yake huyu na hajui .sidhani kama anaelewa maana ya lishe bora.
What do you about cholesterol?

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wacha kuongea pumba hapa...unaongea nikm wakenya hawamiliki ardhi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…