Mzembe huyu ,yani kila akihisi njaa aende akale mgahawani,Ni muhimu ufaham kujihudumia kaz zote uzijueInaonekana kwa majirani chefs wote ni wamama
Yawezekana umekulia Kwa watu wanaokota vitu jalalani ndio maana kupika mnadhani ni Kwa wanawake .Aiseh!!!
Katika maisha yangu, sijaona mwanaume anajisifu kupika wallai.
Mwanamme mzima unakaa kando ya jiko masaa manne kupika chapati na maharage ya nazi!!!!!! heheeee.... Subhanallah
NonsenseYawezekana umekulia Kwa watu wanaokota vitu jalalani ndio maana kupika mnadhani ni Kwa wanawake .
Bro mi mwenyewe napika vizuri tu chakula chochote nachotaka kula unless nikose muda
Nyie wa majalalani endeleni kuzunguka mkitafuta mkate wenu wa kila siku
I think they have to see it to believe...16 lanesmwenzio kasema terminal 2 au alikua anajifurahisha๐๐๐๐๐๐๐๐
16 lanes ndio inajengwa hvi๐ฑ๐ฑ๐ฑ๐ฑ๐ฑ๐ฑ๐ฑ๐ฑ
View attachment 910214
Nyoosha kiswahili chako...mda wote umekua humu bado unaandika magongaTuusan enda upikie jembe
kati yako na Suusan, nani anajua kupika biriani kumshinda mwenzake?Yawezekana umekulia Kwa watu wanaokota vitu jalalani ndio maana kupika mnadhani ni Kwa wanawake .
Bro mi mwenyewe napika vizuri tu chakula chochote nachotaka kula unless nikose muda
Nyie wa majalalani endeleni kuzunguka mkitafuta mkate wenu wa kila siku
Kwa hiyo we unaona ni heri muafrika kumuita muafrika mwenzie bongolala??..Noo. Kama waafrika kuna issue ni sensitive kwetu so hatuwez ziruhusu. Ishu ya yule mchina kuita wakenya monkey inatuhusu hadi sisi so sio ya kuisapoti kabisa.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kuna vitu lazima ukubali huvijui sasa hata ukibeza anaejua haitakifanya ww uonekane borakati yako na Suusan, nani anajua kupika biriani kumshinda mwenzake?
El matadorkati yako na Suusan, nani anajua kupika biriani kumshinda mwenzake?
Unaona raha kutukana wenzio,ukitukanwa wewe unakasirika!!..hapa sheria ni moja tu ukileta ushamba tunakuletea ushamba tu!!afagiliwi mtu...Don't you all have closed minds? They will remain closed till further notice.
Youcan't engage yourselves into thinking that's why you copy everything. Even insults.
Achana hilo jobless limezoea kula mkate na majiKuna vitu lazima ukubali huvijui sasa hata ukibeza anaejua haitakifanya ww uonekane bora
Mpuuzi taslimu, baki na ujinga wakoAs a man, vyakula ambavyo unastahili kujua kupika ni kama ifuatavyo
1. Chai
2. Mayai
3. Ugali
4. Nyama (tumbukiza)
&life goes on. ukianza kujihusisha na kupika vyakula vyengine, utaolewa!
Umesahau githeri smh!As a man, vyakula ambavyo unastahili kujua kupika ni kama ifuatavyo
1. Chai
2. Mayai
3. Ugali
4. Nyama (tumbukiza)
&life goes on. ukianza kujihusisha na kupika vyakula vyengine, utaolewa!
ndio na gap btn kenya and tanzania ni ndogo sana na kila leo inazidi kupungua gap๐๐๐๐๐dah safi kumbe tupo top ten
Jamaa hajui kama mchina aliona kitu special kutoka kwa wakenya hadi akaamua kuwaita monkey!!aliewaita sio sisi ๐๐๐๐๐๐
na ndio maana members of SADC countries wamempa tanzania dhaman tanzania ya kununua dawa na kusambaza nchiz zote za SADCHata hao Namibia wanategemea Medical Doctors from Tz,
Intact Tanzania Leads in Healthcare service and Delivery,
Starting from our well organised pharma industry, to Medical services and logistics.
Ni suala la Muda tu Nyota yetu itang'ara.
tupia recipรฉ ya kupika biryani basi.... hizo ingredients na steps za kupika huwa zinani confuse.Mpuuzi taslimu, baki na ujinga wako
Umeolewa?Umesahau githeri smh!
Stupid monkey!