Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I don't care and it won't hurt me. But what we all know is that nyinyi ni wachawi, kwanza 100% ya watz ni wachawai
hahahahahahaha acha utoto, Mungu anakuona ujue, unahukumu na huna uhakika na kilee unachosema
 
TANZANIANS DONT INVEST....MAYBE THE FEW POCKETS OF ARABS HUWAFUNIKIA KIDOGO...........
 
M

MNGEKUA NA BIDII KAMA VILE MMECHANGAMKIA KIBERA HAMGEKUWA A LEAST DEVELOPED COUNTRY
UNAJUA NINI, BIDII TUNAYO TENA TUNAYO SANA NA NDIO MAANA TUNAZO GUTS ZA KUJIBIZANA NA NYIE WAKATI WOWOTE TUNAOTAKA. Yawezekana uko na njaa sasa hivi, uko unemployed, deni la china linakuhusu, Huwa hela ya kulipa rent, your life is in shit.
 
wachawi familia yako na ukoo wenu
Mganga kutoka tanzania..mara natibu kazi,mapenzi,kuwa tajiri...mazee kenya nzima hukosani na ilani km hz...

Alafu siku hz wame upgrade...huzungusha vikaratasi vyao hadi cbd...kisha hvo vikaratasi huzungushwa na watoto mazee...

Yani hawa jamaa hutoa watoto kwao kuja kuomba na kuzungusha vikaratasi vya uganga
 
hiyo ni experience yako, hakuna sehemu hapa duniani ambapo hamna witchcraft, hata in the UK witchcraft ipo tu so usijeniambia kuwa kenya hakuna nitakuaibisha hapa
 
UNAJUA NINI, BIDII TUNAYO TENA TUNAYO SANA NA NDIO MAANA TUNAZO GUTS ZA KUJIBIZANA NA NYIE WAKATI WOWOTE TUNAOTAKA. Yawezekana uko na njaa sasa hivi, uko unemployed, deni la china linakuhusu, Huwa hela ya kulipa rent, your life is in shit.
Hhhh!!povu...
 
hiyo ni experience yako, hakuna sehemu hapa duniani ambapo hamna witchcraft, hata in the UK witchcraft ipo tu so usijeniambia kuwa kenya hakuna nitakuaibisha hapa
Uchawi wenu international...yani nchi nzima ni wachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…