Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Saw a.madeni ya China lazima tulipe. We are not too poor to be forgiven. Smh
mutalipa na pesa iko wapi au mutawalipa mawe ikiwa wafanyabiashara wana borrow money to pay tax😀😀😀😀😀 and gvt borrow money to pay debt😄😄😄
 
😀😀😀😀😀Am coming for gold and diamond. You are too lazy to exhaust your resources. Deni la mchina lazima nilitafute. I feel for the next generation.
😀😀😀😀😀Am coming for gold and diamond. You are too lazy to exhaust your resources. Deni la mchina lazima nilitafute. I feel for the next generation.
mererani tumeshazungusha ukuta 25 kilometers na tushaweka high tech security with military 24/7 wanaoruhusiwa ni wachimbaji 2000 watanzania tu😀😀😀😀😀😀 karibu sana come one come all
1540384035838.png
 
mererani tumeshazungusha ukuta 25 kilometers na tushaweka high tech security with military 24/7 wanaoruhusiwa ni wachimbaji 2000 watanzania tu😀😀😀😀😀😀 karibu sana come one come all
View attachment 909226
Tanzanite inaporwa kwa mikataba si eti watu wanakuja na magunia na kuzitia ndani watoroke nazo....ukuta ulikuwa tu njia ya kushibisha watu kadhaa lakini kwa ujinga wa watanganyika ikawa ni njia ya kuwazubaisha.
 
Tanzania iko na watu 60million na gdp ya $49billion so inastahili kuwa hapo.
tanzania ina watu 53 million ina GDP ya over 55b usd kenya ina watu 47 million angola ina watu 23million ina gdp ya 120b lakini iko LDC so why????😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Tanzanite inaporwa kwa mikataba si eti watu wanakuja na magunia na kuzitia ndani watoroke nazo....ukuta ulikuwa tu njia ya kushibisha watu kadhaa lakini kwa ujinga wa watanganyika ikawa ni njia ya kuwazubaisha.
hakuna mkataba budaa mambo yashabadilika sana hehe acacia sasa hvi anapumulia mirija ya mkojo😀😀😀😀😀 ukuta umezungushwa ili serekali isipoteze mapato yake na kodi zake na pia rasimali za nchi ziwafaidishe wazawa tu so far wanaoruhusiwa kuingia ndan ya mererani ni watanzania wenye vitambulisho na huku wanajeshi wapo pale 24/7 wakiwasubiri watu kama wewe
 
Jichoboy this is what am talking about. Acha kujitia hamnazo.
Dola moja ni shillingi ngapi za kitz?
There are so many wabongo living under $0.5 a day
ukija uje na official link 2018 maneno ya porojo peleka ukavutie bangi za chooni😀😀😀😀😀
 
tanzania ina watu 53 million ina GDP ya over 55b usd kenya ina watu 47 million angola ina watu 23million ina gdp ya 120b lakini iko LDC so why????😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Weka evidence ya over $55b alafu unitag walahi nahama JF.
 
By the way jichoboy which parameters are used to determine whether a country is developed or not coz am sure it's not GDP only. Kuna vigezo vingine kama elimu,afya na kadhalika
parameters za nini??? hebu tuweke wazi hapa heheh kumbe its not GDP sasa ni nini????😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom