Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unetumiwa waswahili umeanza ku bwabwaja..sasa unataka kusema bongo kuna wasichana kuzidi waswahili wa pwani ya kenya
 
wakibiwa maneno ya ukweli wanakasirika
😂😂😂👏👏👏👏👇👇👇👇👇
wachina wachina wachina😆😆😆

 
wakibiwa maneno ya ukweli wanakasirika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
wachina wachina wachina[emoji38][emoji38][emoji38]

Maoni ya mtu hayo......muulize lini alikosa mshahara na marupu rupu yake yote hyo
 
Nakukumbusha tuu kua Dar es salaam ina raia wengi kuliko Nairobi. Muda wa kazi watu hutulia maofisini kupiga mzigo, hakuna majobless wengi kuswampa ovyo town kama Nairobi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
How come FDI ya Kenya ni ndogo ukilinganisha na ya Tz kwa miaka zaidi ya 7 iliyopita ata Rwanda imewazidi au hao real investors unaowataja wapo kwenye ndoto zako wanakuja usiku ukiwa kwenye njozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…