Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo naona hutopata usingizi...argue with facts nigga

ungejua niko wapi sasa hvi nakula bata sasa hvi hehehhehe mpaka kuku anaona wivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukipata nitag...au hta uniambie...akina nani walipigania uhuru wa mombasa...
Niulize Zanzibar nitakujibu..ila wewe ujibu kwanza

so hutaki zanzibar uwe tanzania au nia yako ni nini??????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rc hupigiwa kura

anapigiwa kura kwa sababu anawakilisha nchi ilioungana ndio maana ni mwakilishi wa zanzibar utasumbua kichwa chako bure maendeleo yote ya zanzibar yapo mikononi mwa tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Naona leo nimekukamata pabaya..huna pa kutoka...hhhhhh

tafuta mtoto mwenzio mufundishane about history yaonesha historia ilikupiga chenga maana inaonekana kinachokuuma zanzibar kua chini ya tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
so hutaki zanzibar uwe tanzania au nia yako ni nini??????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maoni hayapingwi...na maelezo yangu yanonyesha vizuri kuwa zanzibar na tz ni muungano...ila hoja yako ya mombasa unaipindisha pindisha tu kijiwe jiwe
 
In December 1963, the African island of Zanzibar won independence from England. A month later, on January 12, 1964, ...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

and 1964 tanganyika and zanzibar unite and got tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

utaumia bure tu heheheh
 
tafuta mtoto mwenzio mufundishane about history yaonesha historia ilikupiga chenga maana inaonekana kinachokuuma zanzibar kua chini ya tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nime support hoja yangu...nawe pia suppo yako...muungano haunihusu mie...najaribu tu kukufunza bado zanzibar n nchi
 
Umetafuta ukakosa..hhhnh

Ila ujue siku hz wakubwa wanawaogopa wadogo

kasome history kwanza siku ukishaelewa nazungumza nn alaf rudi tuendelee umeskia dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
and 1964 tanganyika and zanzibar unite and got tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

utaumia bure tu heheheh
The same same story...unaimba kw mada...vp msa yao ilikuwa lini..
 
and 1964 tanganyika and zanzibar unite and got tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

utaumia bure tu heheheh
Still zanzibar wako na rais...hhhhhh!!!hapa leo hutoki
 
leo nimecheka sana kua kuna mkenya hawataki zanzibar iwe chini ya tanzania wakat ni muungano wamiaka zaidi ya 50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

ukiona unaumia sana kumpatia transformer ya kenya power[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Hhhhh!!,maoni hayapingwi....lete ya mombasa sasa..mm nishakupa ya zanzibar
 
Still zanzibar wako na rais...hhhhhh!!!hapa leo hutoki

so who is the president of jamhuri ya muungano wa tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].
 
Nime support hoja yangu...nawe pia suppo yako...muungano haunihusu mie...najaribu tu kukufunza bado zanzibar n nchi

haitabadilisha maana kua iko chini ya tanzania na haitabadilisha maana kua haiko tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. umenielewa hehhehehe yani whether you want or not hakuna mji wowote east and central unaeza shindana na unguja na pemba kwa beach hotels hakuna na haitatokea [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Lete muungano hapa..nasuboria[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom