Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watakuletea kibera. Hawana suburbs. Am a wakutusi vibaya sana.They always do these two things whenever the issue ofdarislum suburbs is brought in
Jane nowadays unakurupuka sana,I thought ur among the sane nairobians here
 
You are blinded by patriotism ichoboy. You deny everything negative about Tanzania. Does your country have poor people, do people get ill, do people violate the law?
 
Hii ni hatari sana,Nimewah waambia Moshi manispaa kwa sensa ya mwaka 2012 walikua watu 180k kwa maana hyo kibera ina watu wengi kuliko Moshi mjini[emoji23] [emoji23] View attachment 905126
Watu 2.5M wanaishi hapa? Hata mtoto wa chekechea ana ufahamu mzuri kwamba hao watu wote hawawezi ishi katika eneo ndogo kama hilo. Tafadhali muanze kufunzwa jiografia
 
Watu 2.5M wanaishi hapa? Hata mtoto wa chekechea ana ufahamu mzuri kwamba hao watu wote hawawezi ishi katika eneo ndogo kama hilo. Tafadhali muanze kufunzwa jiografia
Umeambiwa watu milioni 2.5 NBO wanaishi kwenye slum kati yao laki 2 na nusu wanaishi kibera pekee sasa wewe unataka kubisha nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…