Battle: Dar es Salaam vs Nairobi





watu wanaishi kama wanyama alafu anakuja mpuuzi anakwambia sisi MLDC[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
 
vitu wakenya hawatakuonesha nairobiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kibera pekee ina 60% of nairobi population what about other slums
 
Kila upitapo mjini
Saidia maskini saidia maskini
lakin cha kustaajabisha mkiwakamata ethiopia munawarudisha kwao mkiwakamata wa congo munawarudisha kwao je hao beggers mbona hamuwarudishi??????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ natumai jibu unalo dada
 
kama ata mombasa hamuwezani seuze nai
yani leo umenichekesha sana aisee huu wakati umekua mgumu sana kwenu mulijisahau sana mukajua dunia nzima inazunguka nairobi leo hii mapovu yanakutokeni dar haushindani na mji wenye hauna maji kwa raia wake si bora muwe watumwa tu


huu ndio mjii mkuu wa kenya jamani serious kweli?????????
.
 
Jiangalie Before uone jirani watu 35 million wanakosa choo watu 27 million hawana maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…