Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umeenda mbali... hapa hapa Kenya, Watanzania wamejazana kila miji na wamefulia mbaya sana.
kama Tanzania ni nchi ya 'maziwa na asali' kwa nini mbona kuhangaika kwote huku kwenda kukera nchi za watu???
 
umeenda mbali... hapa hapa Kenya, Watanzania wamejazana kila miji na wamefulia mbaya sana.
kama Tanzania ni nchi ya 'maziwa na asali' kwa nini mbona kuhangaika kwote huku kwenda kukera nchi za watu???

Tupe picha zao na majina tujue tunawasiadiaje kurudi nyumbani.
 
Ichoboy hii thread yako nitaambia admin aifunge utoke huku angalau ujionee dunia inavyoendelea. Duh! Umekuwa kama kupe kwenye ngozi ya ng'ombe hubanduki wala hupapatiki?
hahah mbona kule nipo sana bro πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mbona unaguarantee vitu ambavyo haviko ndani ya uwezo wako?
Dar itazidi kujengwa tu hayo maneno yako baki nayo
 
Tanzania inejenga modern electric train in africa phase mbili kwa pamoja ambzao ni 722km total by 2019 phase one itakua imekamilika na 2020 phase itakua imekamilika sijui sura zenu mutazieka wapi beoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
deni la mchina lazma lilipwe sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

 
wapi likoni inapumulia mipira ya mkojo asante mseven kwa kufata nyendo za nyerere bridgeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡wengine waliahidiwa likoni bridge miaka 30 iliopitaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†βœ‹βœ‹βœ‹

 
Everybody ako na priorities zake. Kenyans prioritize roads and that's why road connection in Kenya is ahead of any neighbouring country.
 
Life is too difficult for the blind like you
Let me tell you one thing, you are being cheated by your leaders. Do you think mkidevelop Kenya inatawangoja? That's why every statistics favours Kenya over Tz.
 
Let me tell you one thing, you are being cheated by your leaders. Do you think mkidevelop Kenya inatawangoja? That's why every statistics favours Kenya over Tz.
Hatudevelop kuwapita ke tunadevelop kutoka kwenye umasikin na kuboresha maisha yetu ,it's okey ku bragg na vitu vidogo kwasababu tulikua matopeni kwa kipindi kirefu ...
 
Everybody ako na priorities zake. Kenyans prioritize roads and that's why road connection in Kenya is ahead of any neighbouring country.
hehhe leo mko na priorities ila kujenga likoni bridge mlioahidi miaka 30 iliopita haina maana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ahead of slums and unemplyment rate plus povertyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hatudevelop kuwapita ke tunadevelop kutoka kwenye umasikin na kuboresha maisha yetu ,it's okey ku bragg na vitu vidogo kwasababu tulikua matopeni kwa kipindi kirefu ...
na still tuna just 10 yrs of developments lakini ona wanavohangaika usiku na mchanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…