Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fact ka mkonazo mzitaje...ujinga yenu siezi entertain
kwa hyo mkakaa wenyewe mkajidili mkaona vitu unavyoviorodhesha hakika dar tunawakamata mkaridhia kudanganyana wakakutuma wenzio ha haa haa pole mshamba wa kenya hapo ni flyover tu...na zikikamilika sijui utaongea nin
 
acha ubishi nyie ni barabara tu mmejitahidi tena kwa upande wa flyover basi vingine ni kawaida tu tena sana .....hafu sifa nyingine mnajitahidi kupiga picha hako kajiji kenu kiasi cha kwamba kana picha nyingi sehemu moja ila angle tofauti tofauti wabongo tamaduni hyo hatuna.....
They have non...only two towers
 
Surely wewe huoni unajiaibisha bure??? Kama sasa hii picha ya mwisho ni ya nini?? Kisha Hizo tawa mbili tu mbona??? Aaaah! We vipi tena bana??
 
Nyinyi kwanza mnakazia wakenya kuja huko kwenu..kwenda Uganda ama Rwanda nahutaji ID ya Kenya but hapo kwenu nyinyi watiaji ndio maana hamtawai endelea
acha uwongo sisi hatuwakazii wabongo ni watu poa sana nagundua kitu kingine kama mnadanganyana nakupandikizana chuki id ni kitu cha kawaida mbona ni utaratibu tu
 
acha uwongo sisi hatuwakazii wabongo ni watu poa sana nagundua kitu kingine kama mnadanganyana nakupandikizana chuki id ni kitu cha kawaida mbona ni utaratibu tu

Kuna jambo huwa sielewi, wasanii wabongo video zao za nyimbo hawafanyi kule Dar?? Kunani, Sio kama wasani wa Kenya wanachapa video hapa hapa jijini Nairobi.
 
Nairobi is a Modern city good infrastructure provided and the ease of doing business is going up very fast
Selassie Avenue Nairobi
 
na uwaambie nani alikuwa mshindi wajue maana wanezubaa kweli na waka isearch hyo thread wakajionee
 
Kuna jambo huwa sielewi, wasanii wabongo video zao za nyimbo hawafanyi kule Dar?? Kunani, Sio kama wasani wa Kenya wanachapa video hapa hapa jijini Nairobi.
Kwa sasa wasanii wengi video zao wanafanyia DSM,isipokuwa kuna wachache kama kina Diamond ambao ni int.figure na mifuko yao inaruhusu wanachanganya mazingira ya ndani na nje ya nchi hasa SA

Lakini pia kufanyia video nje mi sioni shida kwa sababu ni moja ya njia kutangaza muziki wa BONGO NJE YA MIPAKA YETU
 
washamba hao wakenya sababu wanavijengo vidogo basi zilizo na 18Fl kwao ni cbd coz ndyo zinazoonekana jiji zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…