Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

anaebisha abishe lkn huu ni ukweli
kweli kabisa. yaani nyumba zimepangwa kama crossword puzzle.... vichochoro vingi hata hujui uendako wala utokako. kila sehemu ni shida tupu
 
kweli kabisa. yaani nyumba zimepangwa kama crossword puzzle.... vichochoro vingi hata hujui uendako wala utokako. kila sehemu ni shida tupu
😂😂😂hizi posts unazitoa wapi lakini? That one above summarizes how darislum is. This thread should be closed/pulled down for that matter
 
Dar slum hakuna Matajiri....Kwa hii picha niambie ni watu wangapi wanaonekana wanaeza afford gari[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 901221
sasa nyumba zenyewe mpangilio wake, full vichochoro, mwanzo/ mwisho. binadamu kupishana kwa njia yenyewe ni shida bin tabu! itakuwa magari??
 
sasa nyumba zenyewe mpangilio wake, full vichochoro, mwanzo/ mwisho. binadamu kupishana kwa njia yenyewe ni shida bin tabu! itakuwa magari??
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…