Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na mahindi ya Eldoret
 
But in the list of top ten tallest buildings with n Africa I only see two from Tz, please explain this.
The tallest building in dar is tpa tower, pspf towers,waambie hao wanaoandika izo list zenu wapimwe mkojo
Nyumba zenye zaidi ya 140M ni pamoja na mzizima tower, ppf tower na mnf tower kama wanalist kwa kufuata metre basi yafaa wawe realistic
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ziko mingi sana. Tuzo,Daima,Fresh etc... Among the popular ones. Kenya inaproduce maziwa mingi saana. Some companies are regional why should I take milk from Tz?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Napia kitale. Sasa Tz wanatulisha nini? Ubongolala ama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ziko mingi sana. Tuzo,Daima,Fresh etc... Among the popular ones. Kenya inaproduce maziwa mingi saana. Some companies are regional why should I take milk from Tz?
Sidhan kama kila jambo linahitaji mabishano!!Amini kwamba Tz haiwauzii chakula chochote ukiamini hivyo nnauhakika utaongeza kilo moja kwenye mwili wako !!
 
Ati lava lava[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sisi tukingoja Turus relay na Majour lazer wengine wanatarajia kutupa pesa kuona Tanzanian unknown village champions.View attachment 895579View attachment 895580View attachment 895581
huyo kwa picha ni mwanamziki mkenya?!... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

when will you start to idolize your own musicians?. jamaicans will add nothing into your music no matter how you worship them.
 
hii nchi kila kila mtu ana msongo wa mawazo(depression).... nilidhani ni majobless peke yao. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aviv has six towers U/C the tallest will be 47floors alafu ya mwisho will have 30
ahahhaha hvi wewe akili yako iko sawa kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…