Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Umeanza hii tone baada ya kuona nondo za wanaume wa kitz wanapita wapi wakati wanaelekea chuo!!!!

Tz hatusomi kitu kimoja na kenya,ndio maana mnajua sana kiingereza wakati sisi tunachukua maarifa.
 
Umeanza hii tone baada ya kuona nondo za wanaume wa kitz wanapita wapi wakati wanaelekea chuo!!!!

Tz hatusomi kitu kimoja na kenya,ndio maana mnajua sana kiingereza wakati sisi tunachukua maarifa.
Nothing. I just said that to avoid useless discussion.You can't even compare courses offered in Kenyan universities with yours. Niletee mtihani wa form 4 wa chemistry. Hii ni mara ya 20 naitisha. Nashuku hamleti kwa sababu unafanana na sayansi ya darasa la sita Kenya.
 
Naona unapanua goli sasa. Sisi hatuna shida na form 4 yetu hata ukisema ni sawa na class 6 huko kwenu. Tunachotaka ni kulinganisha mitihani inayompeleka mtu University
 
You said your living this thread
Nini mbaya???[emoji23][emoji23][emoji23] Hapa ni mtakuja
housemaid hana guts za kuacha kukoment ktk hii thread, mimi ndio namuifluence bila yeye kujua.

yaani akiona post yangu moja tu, akili inamruka,povu linamtoka, makwapa yake yanajaa jasho.

post yangu moja ni kama bomu zito kwake, atanijibu kwa post tatu au nne au atanijibu kwa zaidi ya paragraph 10.

huyu tayari akili yake imeshakuwa addicted na kadoda jizee la 60s. mda wote ana refresh kutaka kujua kadoda kasema nini.

kwa sasa mimi ndio nam-drive hapa jf.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hiyo university mnasoma miaka mingapi?
Medicine, veterinary Medicine, dentistry na architecture ni miaka 5

Law, engineering, nursing, pharmacy, land courses ni miaka 4

Humanities, education, social sciences ni miaka 3

Nikikaa sawa nitakutumia document ya TCU ambayo ina vyuo vyote, courses, duration, cutt off points, n.k.
 
Please do.
 

Nakucheka ujinga!!!mtihani wa wa hesabu haujapatiwa majibu unaomba wa chemistry!!!

Hiyo tunaitaga papara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…