Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndinda tuletee huu mjengo, najua wewe ni expert.. Photo moja unaweza unganisha PPF, TCRA, Millennium tower na Morroco square [emoji38]View attachment 893630

Aisee mkuu habari ni mbaya ( bad news kabisa) 🤣

Nilipita mlimani campus tarehe 25 Mwezi wa sita 2016 nikapiga picha Hii hapa chini.
Basi nilipapenda sana ile angle niKasema subiri yakamilike nije ninyuke kitu matata, focus yangu ilikua Morroco square kule. Juzi nimerudi nikakuta na miti imekua imefunika sioni kitu kabisa .

Ndio nilipokumbuka msemo wa Teacher wangu wa Geography kwamba land information is dynamic over time


 
This is nice
 
Nipe coordinates za hiyo sehemu nikaikate kabisa hiyo miti [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Miti ilikusikia ukijiambia jambo,nayo ikaamua kufanyia hiyana.
 
hiyo idea hata mimi nimekuwa nikiitafakari sana.maana lile pori lao ni kama lipo useless, linahifadhi wapiga ngeta tu mida ya usiku.
 
hiyo idea hata mimi nimekuwa nikiitafakari sana.maana lile pori lao ni kama lipo useless, linahifadhi wapiga ngeta tu mida ya usiku.
Hahaa.. nasikia pale ni noma mida mibovu!

Ukizingatia Mwenge kuna plan za kuweka fly over pia, ile land ni potential sana. Ingefanyika awamu hii ingekua safi zaidi upigaji wa kijinga umepungua. Isije ikaingiwa mikataba ya ki Ken yah kutoka Beijing [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…