Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

take it easy, everything here is about a battle!!!nothing is serious, if you take anything the way you take,you will be stressed up!!!..I think this battle is bigger than you,yo may take a time for rest..
I can't be stressed up. We Kenyans love to troll. On the other hand ,tanzanians have pure hatred. I don't know what we did to you to hate us like this
 
Poleni. Bahati mbaya suala lako/lenu si suala la mjadala. Ni vema hayo mkayamaliza wenyewe. Aidha, mkiona mmefikia hatua hiyo ya kutukanana huenda mmoja wenu au nyote mna tatizo la kukosa maarifa ya kujenga hoja thabiti. Na huu ndiyo msingi wa mimi kukosoa aina ya mjadala uliopo.[/QUOTE]
Basi kosoa wenzako. Ni kama walihudhuria chuo kikuu cha matusi
 
Sikilizeni The mafik ft ruby song niwaze,iyo sauti ya ruby ni zaidi ya kinanda *****
 
Mtihani ni pamoja na muda,swali upewe asubuhi uzunguke nalo kutwa ulete majibu jioni?
Just a single Qn has spend some hours solving it. Now imagine for the whole Exam how many days could be enough for him to accomplish it [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mtihani ni pamoja na muda,swali upewe asubuhi uzunguke nalo kutwa ulete majibu jioni?

my friend.....i work for a housing company......leo tumeenda hapo kajiado kwa project flani.....niliporudi kazini na ku log in jf nikaona mlinitumia basic calculus stuff ya first year first semester.
 
Just a single Qn has spend some hours solving it. Now imagine for the whole Exam how many days could be enough for him to accomplish it [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kilaza wa hesabu tena bora yeye hao wapiga domo wengine wamekimbia kabisa hadi hizi habar Za shule ziishe
 
my friend.....i work for a housing company......leo tumeenda hapo kajiado kwa project flani.....niliporudi kazini na ku log in jf nikaona mlinitumia basic calculus stuff ya first year first semester.
Vyema!!
 
Kilaza wa hesabu tena bora yeye hao wapiga domo wengine wamekimbia kabisa hadi hizi habar Za shule ziishe

lol....but CPA exams are tougher than these calculus stuff......huko ni swali unapewa and you have to figure out whether to use chain rule,quotient rule or product rule.....................unabaki ukikula biro pen na kuchora map kwa mguu sakafuni...hahaha
 
Basi kosoa wenzako.

Ni kama walihudhuria chuo kikuu cha matusi[/QUOTE]

Mimi nimekosoa mtiririko mzima wa mjadala ambapo ninaamini hata wewe inakuhusu. Hadi tunaongea hapa. Aidha, ninaongea na wewe kama mchangiaji si kama mtu aliyetukanwa. Ukisema wenzangu, hata wewe ni mwenzangu pia. Hili la wenzako linatoka wapi? Huu ndiyo unazi ninaoupiga vita.
 
Haha
 
Lile jitu lililoleta huo mtihani hapa halijui chochote. Nakumbuka nkifanya hesabu moja ila nilipouliza kama nimepata wakanyamaza. I know I got the answer correct.

Sasa nileteeni C.A.T iliyofanywa na watoto wa UDSM
 
Wewe si umesema hutaki tena JF? Imekuwaje tena umerudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…