huyo bila shaka atakuwa ameenda kulala mda huu maana nasikia usiku wa leo kakesha jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kuletwa mtihani wa Maths naona mnaanza kukimbia mmoja mmoja. Najua mnakuja kwa IDs tofauti. Tumejua pahala pa kuwashika. 😀😀😀. Safari njema wasalimie kibera.
HahahaaaaaNimeona nijiuzulu kirasmi maanake hatusaidiani kwa lolote lile. Pongezi kwa wakenya waliotoka kwa huu uzi wakati picha zao zilipokuwa zinaanikwa hadharani.
Sasa jukwaa limeachiwa character assassins.wazee wa kujadili kwa mihemko nawatakia kila la heri.
Watoto wa Periodic table wamehepa dadeqhuyo bila shaka atakuwa ameenda kulala mda huu maana nasikia usiku wa leo kakesha jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113]Hahahaaaaa
Basi rudi mama
Tutamwambia Kadoda asikupeni tena mawe ya A'level maana mmenyweaa kama paka kapigwa mvua. Lakini msirudie tena kuiponda elimu ya Bongo kisa ung'eng'e maana sisi huku tunaangalia maarifa zaidi hiyo lugha ras Simba anamaliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]Watoto wa Periodic table wamehepa dadeq
Kukijua Kiswainglish kwao wanadhan ndoo professionalism kumbe Kuna mambo beyond Language mkuu.mimi sijawafanya kitu chochote kaka, ni ujuaji wao ndio unawaponza.na siku zote kama umechunguza, mkenya huwa anaponzwa na tabia ya ujuaji.
imagine kuhusu elimu yetu, kila kitu walichokuwa wanaelezewa wanadai walishasoma wakiwa form two... mwingine anakwambia sijui topic fulani alishasoma akiwa primary.
nilipoleta national paper ya form six ya advanced mathematics baadhi yao wakaamua kupiga kimya.
halafu wala wasikuzuge na hiyo style yao ya kususa, hawajaanza leo. wanasusa but after some few ours wanarudi kuja kukomenti.na wengine huwa wanarudi kwa ID mpya. binafsi nimeshawazoea.
washatumia kila mbinu ili kumshawishi moderator ifungwe hii thread wameshindwa.
mashallah.... [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]ahahaha [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
nimeskia kilimanjaro 7 imeingia ni kweli😋😋Nimeipiga sasa hivi nikiwa ndani ya Azam Marine - Kilimanjaro 6. Ni kwa kutumia simu ya mkononi
View attachment 891657View attachment 891658View attachment 891661
Ila Ikumbukwe wao hujinasibu kua na Umeme wa kutosha kuliko TZ sasa cjajua kwanini wao gharama za umeme bado zipo juu ukilinganisha nasi.ahahaha [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
kweli mkuu ilikuwa inafikia wakati huwezi fanya derivationy ya formular zaid ya moja bila kutumia calculus kwaiyo calculus ni topic muhim sana hata upande wa physicsSasa kijana mbona unaketa kituko!? Hii ndiyo part ngumu kwenye mtihani wenu!?
Mathematics without calculus ni kama mwanamke bila K.
maisha ya wakenya ni maisha ya maigizo sana 😂😂😂😂😂Ila Ikumbukwe wao hujinasibu kua na Umeme wa kutosha kuliko TZ sasa cjajua kwanini wao gharama za umeme bado zipo juu ukilinganisha nasi.
kwa dunia ya sasa kingereza si kigezo cha kumfanya mtu ajione yeye ni exceptional katika kundi watu.Kukijua Kiswainglish kwao wanadhan ndoo professionalism kumbe Kuna mambo beyond Language mkuu.
mkuu mimi nmesomea mechanical engineering na kule chuoni nilikutana na calculus ya form six ila kuna baadhi ya vitu vidogo san viliongezeka waliokuw wanapata shida sana sana ni wale waliotokea diplomayou overrate calculus for nothing ..............calculus ya engineering ndio calculus........................differential equations,integration and differentiation arent complicated yawa...................
Safari njema chiefNimeona tangazo lake nikifika Zenji nita share picha ya Tangazo.