Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

housemaid thread itafungwa 2025.kama umezidiwa ktk argument na watz unaweza kuwa msomaji tu. sio lazima uwe unaandika porojo zako hapa.

narudia tena thread itafungwa rasmi 2025.
utajibeba shenztype. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nisaidieni hapa,central Africa region hakuna cities zenye mali hata $1bln mbona sizioni katika ramani Au study haikuzihusisha??
 
comrade
raha ya mijadala kama hii ni kubaki "kukubaliana kutokukubaliana".

kwa mfano mimi nikisema ile ni rangi nyeupe, wewe unakuja na argument zako za kukataa na kusema hapana ile si rangi nyeupe ni rangi ya kijani.

huwa inasaidia sana katika critical thinking na kufanya ubongo wako kuwa sharp mda wote.

sisi na wakenya hatuwezi tu kukubaliana kirahisi ktk kila jambo, lazima tujadili kwanza.majadiliano ni sehemu ya kupeana changamoto. kuna sababu za kihistoria kati ya watz na wakenya kuwa hivi.

nikupe mfano, huko ughaibuni mpaka hii leo wazungu wanaendelea ku debate kuhusu tukio la kina neil amstrong kufika mwezini mwaka 1969.

wapo wanaokubali na wapo wanaokataa,
wanaokataa wana strong reasons za kuamini kwamba lile tukio likuwa staged.

ukitaka ushahidi nakuwekea.

 
kadoda umenifikisha kwenye somo langu asante sana hakuna nkenya atadanganya hapo niamini mimi nitamhoji kitaalamu mpaka atafaurah na roho yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Badamu banataka kumwagika...!! Kibera dwellers njooni huku..
 
kadoda umenifikisha kwenye somo langu asante sana hakuna nkenya atadanganya hapo niamini mimi nitamhoji kitaalamu mpaka atafaurah na roho yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hii post nilii-post jana mida ya jioni tulipokuwa tunajadili masuala ya elimu ya secondary kati ya kenya na tz.

mpaka mda huu hakuna mkenya hata mmoja aliye attempt kufanya swali hata moja.

post imesababisha hata wale wakenya wanao repost picha za CBD watoweke kwa mda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaaa mkuu umenikumbusha mbali sana form 3 hiyo...
 
Nimeona nijiuzulu kirasmi maanake hatusaidiani kwa lolote lile. Pongezi kwa wakenya waliotoka kwa huu uzi wakati picha zao zilipokuwa zinaanikwa hadharani.
Sasa jukwaa limeachiwa character assassins.wazee wa kujadili kwa mihemko nawatakia kila la heri.
 
safari njema,nenda kampikie shemeji...!
we don't need you!
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Bon voyage mammy
 
Baada ya kuletwa mtihani wa Maths naona mnaanza kukimbia mmoja mmoja. Najua mnakuja kwa IDs tofauti. Tumejua pahala pa kuwashika. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Safari njema wasalimie kibera.
 
Ila kadoda ulichowafanyia hawa jamaa Mungu anakuona asee [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
mimi sijawafanya kitu chochote kaka, ni ujuaji wao ndio unawaponza.na siku zote kama umechunguza, mkenya huwa anaponzwa na tabia ya ujuaji.

imagine kuhusu elimu yetu, kila kitu walichokuwa wanaelezewa wanadai walishasoma wakiwa form two... mwingine anakwambia sijui topic fulani alishasoma akiwa primary.

nilipoleta national paper ya form six ya advanced mathematics baadhi yao wakaamua kupiga kimya.

halafu wala wasikuzuge na hiyo style yao ya kususa, hawajaanza leo. wanasusa but after some few ours wanarudi kuja kukomenti.na wengine huwa wanarudi kwa ID mpya. binafsi nimeshawazoea.

washatumia kila mbinu ili kumshawishi moderator ifungwe hii thread wameshindwa.
 
Baada ya kuletwa mtihani wa Maths naona mnaanza kukimbia mmoja mmoja. Najua mnakuja kwa IDs tofauti. Tumejua pahala pa kuwashika. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Safari njema wasalimie kibera.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…