Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Just leave me alone you stereotype hooliganNajua kenya nzima utakuwa umekosa wakukuna maana wanaume wakenya wanaenjoy zaidi na wanyama kuliko nyie the rest wanadream kuolewa America na Britain
Chemistry nakumbuka topics zilikua chache tu,kuna Organic ,Inorganic,general lakini mziki wake Ni mnene sanaI dropped physics. So tell me about chem and biology
Oooh sorry baby tunaweza bonga more pm maana tunamwaga mchele kwa kuku wengiJust leave me alone you stereotype hooligan
Biology had classification 1 which we did in form 1 and classification 2.Chemistry nakumbuka topics zilikua chache tu,kuna Organic ,Inorganic,general lakini mziki wake Ni mnene sana
Biology topic ndefu ni classification, genetics,biochemistry,izo zingine ni zilezile sio ngumu kivile
Periodic table form 1 au form 2Biology had classification 1 which we did in form 1 and classification 2.
Periodic table mlisoma mkiwa form?
Namba 11 ni Simba Sc, Caf wametoa hii list mwezi huu. Next year Simba itaingia top ten kama ikifanya vizuri kwenye champions league.
IPeriodic table form 1 au form 2
I dropped physics. So tell me about chem and biology
Wakati mwingine uje na hoja kama hizi kabla ya kufungua kinywa chako kuidhalilisha elimu ya Kenya. Hivi vitu umetaja hapa tulivisoma hivyo usione kwamba elimu yenu ni bora kuliko ya KenyaChemistry is a little bit easy compared to physics and biology. The syllabus requires you to learn the following
1-GENERAL CHEMISTRY . By the end of the topic you're supposed to know
-All atomic models
-electronic configuration plus quantum mechanics, etc
Hapo kuna mambo mengine mengi ambayo nimesahau kama marules ya heinsberg , hunds, de broglie, Einstein Equation, derivation ya bohr radius,mpaka schrodinger equation ili kuwepo ila ikatolewa baada ya watu kulalamika
-this topic can take up to 3 months
2-PHYSICAL CHEMISTRY . This is divided into 5 subtopics which are
-states of matter (harder )
-Electrochemistry (harder )
-Energetics (thermochemistry )-simple
- chemical equilibrium (simple )
-chemical kinetics (bit harder )
This topic can take up to 4 months
3-INORGANIC CHEMISTRY. This topic is divided into 2 subtopics
-GROUP CHEMISTRY . This part covers periodic table with its properties along and down the group such as ionization energy, atomic radius etc. Also you have to explain properties of each group from group 1 to 8
-TRANSITIONAL ELEMENTS - this covers all metals from atomic number 20 to 30 together with their properties like color formation, variable oxidation states etc.
-this topic can take up to 3 months
4-ORGANIC CHEMISTRY. Here I don't know how I can explain but in nutshell it has the following
-INTRODUCTION . Here you have many things to explain like bond formation and bond breaking(homo & hetero), nucleophile, electrophile, free radical. Inductive effects (-&+),etc
-After introduction, which is almost a topic on its own, you start the aliphatic, aromatic, carbonyl, amide, amine and many other compounds. Here all the properties learned in introduction are applied.
-Of all topics this is the hardest (many students like it but they can't pass ). it can take up to 5 months.
5- SOIL CHEMISTRY. This simple
6-ENVIRONMENTAL CHEMISTRY
It's very difficult to prepare a book which can contain all topics which is why each topic is presented in its own book. Physical chemistry alone can take not less than 250 pages (for a simplified book).
Because of its bulkiness the national advanced chemistry exam is divided into 3 papers. Two of them are based on theory while the third one is all about practicals
Lengo langu sio kuonyesha kwamba elimu ya kenya ni mbovu. Nataka kusema elimu ya bongo ina mambo mengi sana yanayomsumbua mwanafunzi. mfano mwanafunzi anayetaka kuwa daktari atasoma sana mechanics ya physics ambayo kiuhalisia hataitumia akienda kusoma Medicine.
Ulisoma kwa kiasi ndio swali la kujiuliza. Kwa sababu hata chuo wanasoma general chemistryWakati mwingine uje na hoja kama hizi kabla ya kufungua kinywa chako kuidhalilisha elimu ya Kenya. Hivi vitu umetaja hapa tulivisoma hivyo usione kwamba elimu yenu ni bora kuliko ya Kenya
Pia nimeona mlisoma theory and practicals right?Ulisoma kwa kiasi ndio swali la kujiuliza. Kwa sababu hata chuo wanasoma general chemistry
Yeah! Practicals za chemical kinetics (hapo mambo ya first order na zero order ). Qualitative analysis na titration(volumetric analysis ). Practicals hizi na O level tunafanya ila za advanced level zinaongezeka ugumu kidogo. Hapa ndio wanafunzi wengi tunaokota marksPia nimeona mlisoma theory and practicals right?
comrade pongezi kwako.Yeah! Practicals za chemical kinetics (hapo mambo ya first order na zero order ). Qualitative analysis na titration(volumetric analysis ). Practicals hizi na O level tunafanya ila za advanced level zinaongezeka ugumu kidogo. Hapa ndio wanafunzi wengi tunaokota marks
Naona sgr dume anakupa wasiwasi kwel...hahaaaaa!!malizeni hilo jike lenu tuone km atabeba double stackUsinichekeshe, hizo treni zilizopakwa paint na jinsi wachina wanavyowapa kipigo taratibu, sidhani kama unaelewa jinsi mlivyo kwenye trouble
You can say what you intend to tell me here. NOOGLEOooh sorry baby tunaweza bonga more pm maana tunamwaga mchele kwa kuku wengi
Sasa physics watu kenya hta form 1 wanasoma...form 3 na 4 ndio unachagua km utaendelea nayo au laIngekua sawa wala tusingekua na haja ya kusoma vitabu vya wahindi katika physics na chemistry bali tungesoma vya kwenu. Kuna siku nilitazama vitabu vyenu vya kiada katika chemistry na nikagundua kuwa graduate wa A level bongo hawezi kabisa kuwa sawa na form 4 graduate wa kenya.
Sisi huku A level mwanafunzi anachagua masomo 3 anayoyaweza ambayo atasoma kisawasawa kwa miaka 2. Mfano wa somo moja tu la physics ambalo mwanafunzi anasoma topics kama 4 tu form 5 ila content yake ni kubwa sana kiasi kwamba wengine huwa wanaamua kuiacha kabisa. Mfano mwaka 2013 mwanafunzi bora katika physics Tanzania alikua na C.
Ukitaka kujionea mwenyewe Google tetea hapo utakuta past papers za A level za mitihani ya taifa. Mpe mdogo wako wa form 4 kama ataweza fanya
Aaah bibie unataka nkutogoze hadharani?You can say what you intend to tell me here. NOOGLE
PervertAaah bibie unataka nkutogoze hadharani?