Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

y
1.6 million tanzanians have aids to....similar number to kenya..........so plizzz.....and the annual death rate from aids in tanzania is 16,000 compared to kenya's 5000
Unfortunately you have just jumped on the wagon without knowing exactly what was it all about, follow up this argument with komoras then come back here again to argue! Oooh, also! Remember that you are a poor little country From Eastern African soil, and stop humiliating us by considering yourself as developed as westerners bwahahahaha!!!😀😀😀😀
 
Nani waku panic nahizo flats za bedsitter zisizopigwa rangi. Wakenya hampani na rangi.[emoji23][emoji23][emoji23] Flats kama gereza.
Jst appreciate ban mulisaa...ulitaka watu wa kibera wasikombolewe jamani...ila pole pole tu tutafika
 
stupid backstreet analysis......zain africa challenge ni university za nigeria na kenya ndio zilikuwa zinawin......and in tanzania a person like Prof.P.L.O Lumumba is idolized but in kenya he is a laughing stock of a low grade lawyer

hiyo ni fact ila naona imekuuma sana msee. pole kwa maumivu.ugua pole.

laiti kama elimu yenu ingekuwa inawandaa kuwa watu knowledgeable katika fani mbalimbali, kenya isingekuwa inakumbwa na majanga mengi ya kuporomoka kwa majengo.

haupiti mwaka hapo kenya bila majengo kuporomoka.

article kadhaa zimeandikwa kuhusu chanzo cha tatizo hili, moja wapo ni hii hapa.ukipata mda isome kwa utulivu, najua huwezi kuisoma saa hii cos umecatch feelings.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chekini cytonn alma....mazee kenya kuna vitu chini ya maji aisee...vitu chini ya maji..apartments kula kuchao nakwambia
 
Duh!!niliwaza sana...eti after kcpe..form one niende nkakutane na kichina...hapo ningeambulia sufuri walai...ila nadhani serikali inalifanyia kazi hilo jambo...either wabaki na lugha moja..ndo itakuwa bora zaidi
Ndio mfumo man kila mtu anapitia mayb upate bahat ya kusoma English academy primary itakusaidia lugha secondary kiaina
 
wachana na uon my friend......mediocre grades never see that gate.....tanzanians with a c can take medicine and surgery course while in Kenya you must have an A grade only
Unadhan grades za advanced level ni rahisi kuzipata eeh? Yani C ya advanced physics , chemistry,biology ni lulu sana sio rahisi kupata...
Nashangaa uko unasomaje hadi form 4 uende university Au hua inakuaje
 
1.6 million tanzanians have aids to....similar number to kenya..........so plizzz.....and the annual death rate from aids in tanzania is 16,000 compared to kenya's 5000
Nipe report kamili inayoonyesha vifo vilivyosababishwa na aids Tz
 
Sijawahi yaelewa masomo ya tz. Hivi ni sawa na ya Kenya? Naona mna sayansi zinazofundishwa hapa Kenya.
Hua hakuna masomo ya Tz Au kenya hapo unazungumzia mitaala
Masomo Ni yaleyale biology,chemistry, physics name them
So maybe you should tell me how many subjects are taught in ur sec schools
 
Nipe report kamili inayoonyesha vifo vilivyosababishwa na aids Tz
ukiona anachukua mda mrefu kukuonyesha ujue anatafuta report yenye cooked data.

hizi kwa majibu wa report ambazo zimekuwa published mwaka 2018.

ni mwendo wa facts na sio porojo.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna mlichosoma kenya Tz kikawa kigeni, ilo liweke kwenye akili yako
I'm not judging. I'm just disappointed by how you present your facts here. Is it necessary to involve insults? We can discuss without insults. No one will lose anything by doing so. I want to know more about Kenya and tz
 
I'm not judging. I'm just disappointed by how you present your facts here. Is it necessary to involve insults? We can discuss without insults. No one will lose anything by doing so. I want to know more about Kenya and tz
Have I ever insulted you or what is z ur point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…