Sasawa...ila mi sina mwili vile..naumbwa mwembamba...ila nitapunguza kw sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ukipata hizo stimu siunakuwa kituko hapo Mombasa. ?? Nunua unga ws lishe na maziwa iwe ndo breakfast yako. You will regain your wait. Hata sisi tunakunywa but we are healthy.
😂😂😂next time kuwa na adabu unapokuwa humu ndani. 😂😂😂Mulisaa hta km ni kunivamia si hvo bana...si pumui...si wote binadamu bana...smetimes jokes kando...ila mi najikubali..kw sasa siez jisifia km eti nina nyumba ndio nifurahishe...wewe km Mungu kakupa nyumba gari na familia...rudishana shukrani...mi ndo sai najitafutia..na naimani nitafika hko...
😂😂😂😂😂😂😂atajuta ku share location. [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]next time kuwa na adabu unapokuwa humu ndani. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna moja katupia suit ya mchina inabonge la label mkononi! uzuri naona siyo mbishi sana kama kina mwasiti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa akitua Dar lazima wajue katoka kijijini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hzo huaga navaa nikiwa katika mishe zangu...ila sipendi suit km nini nakwambia...ila sina budi..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna moja katupia suit ya mchina inabonge la label mkononi! uzuri naona siyo mbishi sana kama kina mwasiti.
Komora uwe unaondoa yale malebo, suit za ukweli hazinaga yale mambo. Otherwise you seem like a good guy, utatoboa tu.
😂😂😂😂😂😂leo nimeshika mtu pahara pake.M nlikua nataka muonyeshe jamaa flani km sai niko mombasa...kumbe google itakuja leta vitu vya ajabu
very soon nitakupa offer yakuja Dar kutembea.Hzo huaga navaa nikiwa katika mishe zangu...ila sipendi suit km nini nakwambia...ila sina budi..
Wewe ilikuwa waichukulia tononoka poa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo nimeshika mtu pahara pake.
A wapi...dar naeza kuja hta mwnywe tu...usinichukulie ki rahisi rahisi hvovery soon nitakupa offer yakuja Dar kutembea.
tononoka hakuna kitu hapo. ungebisha ningetumia 3D satellite kukuhonyesha unapoishi. 😂😂 So just be coolWewe ilikuwa waichukulia tononoka poa...
ukifika nitafute.A wapi...dar naeza kuja hta mwnywe tu...usinichukulie ki rahisi rahisi hvo
Hamna noma...ukifika nitafute.
Huo mda kisha sikuwa nyumbani...nlikuwa tu kw masela kitaa cha pili tulikuwa twapiga vitu vyetu...karibu na tononoka ground,opposite childrens court karibu na chiefs office...ni watu wa dili zao za kubangaizaukifika nitafute.
Okay.. chukua ushauri nilio kupa, ondoa hayo ma label. Wewe kweli umekulia pwani ni muungwana tofauti na mijamaa ya Nai inakufa na tie shingoni. Keep it upHzo huaga navaa nikiwa katika mishe zangu...ila sipendi suit km nini nakwambia...ila sina budi..
Hzo label nilishangoa kitambo...usione lilikuwa halinipi raa!!Okay.. chukua ushauri nilio kupa, ondoa hayo ma label. Wewe kweli umekulia pwani ni muungwana tofauti na mijamaa ya Nai inakufa na tie shingoni. Keep it up