Lakini itambulike kenya haina Sgr bali mtambo wa gongo...Sasa unataka kulingashi expensive things na hyo yenu cheap...mwanzo ujenzi wake wa hali chini sasa...napia katika rankings sgr ya tz na ethiopia ni za umeme ila ni class 2..ila ya kenya ya diesel ila ni class 1...sasa jiulize kwnn
Wacha porojo hapa...hujui km club kuna vipindi tofauti tofauti...sio kila nyimbo inachezwa club uwezi kusikia nyimbo kama ya john legend-all of me ichezwe klabu watu kama jux na benpol wanaimba rnb so ni ngumu kuchezwa club but jaribu kufatilia youtube then utanambia ipo vipi
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]the battle is Dar vs Nai.[emoji23][emoji23][emoji23]sawa monkey[emoji23][emoji23][emoji23]kilifi ni mnyama gani???
Huna unachojua wenzako wote hukiri apa kua mmeliwa Ila ww kenge unabishaSasa unataka kulingashi expensive things na hyo yenu cheap...mwanzo ujenzi wake wa hali chini sasa...napia katika rankings sgr ya tz na ethiopia ni za umeme ila ni class 2..ila ya kenya ya diesel ila ni class 1...sasa jiulize kwnn
Majamaa hununua views na subscriptionNkuulize..kati ya charlie puth na chris brown..nani super star marekani..alafu uje kwenye views...jamaa ako 1b views+...bt bado chris brown ndo habari ya mjini
Mwanza ni mtoto Kwa Mombasa na vilaza wanabisha Tu....Kizingo ndo hyo!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanza na arusha vp?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji382] [emoji382] [emoji382] View attachment 882328View attachment 882329View attachment 882330
you have been hacked???Huyo kilaza wa kuchokonoa watu yuko wapi? Naona anafanya kazi nzuri sana. Mpaka kuchunguza no. Za watu. Haidhuru.
Cheki mwanaume kazini...huyu anapiga misele kinoma...yani anakubebea vitu double...Lakini itambulike kenya haina Sgr bali mtambo wa gongo...
Heheeee!!wambie...unajuwa ilkuwa hawajui km kizingo ni kumoto hvoMwanza ni mtoto Kwa Mombasa na vilaza wanabisha Tu....
kenya kula hyo nkm kawa...utakuwaje kiongozi alafu ukose hata ka mtaji kakujiendesha badae...Huna unachojua wenzako wote hukiri apa kua mmeliwa Ila ww kenge unabisha
Hawa wasee ni wajinga..wanadhani kuwa na views mingi ndo u superstar..Majamaa hununua views na subscription
Usilinganishe mwanza na upuuz,hiyo mombasa imeshapigwa na zanzibar.Mwanza ni mtoto Kwa Mombasa na vilaza wanabisha Tu....
Ashajua my identity vile alivyosema atafanya. Ni moto wa kuotea mbali huyo.😞😞😞😞you have been hacked???
Nini?Someni hapa kidogo tujue siri
Fineoooh sorry mkewangu. Sikujua kama ni wewe. Hiyo ni nyimbo inaitwa katika.😚😚😚 i miss you
Zanzibar ni nchi au mjiUsilinganishe mwanza na upuuz,hiyo mombasa imeshapigwa na zanzibar.
Alafu zanzibar km nchi...imeshinda mombasa(city) kw kitu gani haswa mayb kw watalii ila sidhani km gap ni kubwa...bt kw sekta zngne mombasa imeichakaza hyo nchi vibaya sanaUsilinganishe mwanza na upuuz,hiyo mombasa imeshapigwa na zanzibar.
Acha kujitoa ufahamu weweSomeni hapa kidogo tujue siri