Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alikiba
Navykenzo
Nandy
benpol
Jux
.........
Ona huyu msee!!navy kenzo tu hapo..ila kiba game ishampiga chenga..nandy,ben pol na jux..unaeza ingia club na usiskie dj akiplay nyimbo zao till dawn
 
This song has 3 DAYS imesha kalibia 1 million views๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Nimeskia eti mtu anaitwa nyashnki kenya ndiyo super star wa mzki ambaye sijawai hata kumskia,?! huyo nyashnki level yakeni Dogo janja...
 
Ila hii kitu mtu unalipia king'amuzi bado nyimbo ikitoka uifuate You tube nayo sijui imekaaje,me niliacha kuangalia video YouTube mda kidogo,kuna vitu vingi vya kuangalia bana hii nimewaachia wahananga wengine
 
Sasa hivi Wakenya wa Jf wengi wameibuka ni Vilaza wakutupwa Du!
Online tv nayo zungumzia Sio YouTube!!
Citizen tv Kenya youtube ina Subscribers 700000+
Wakati Online tv yakawaida Tanzania ina Zaid ya 1m views
Heheee!!unafkiria youtube huewezi stream online..we mshamba sana
 
Hahahah huyo nyashnki ni nani .....!?? sijawai kumskia kabisa kenya mimi najua tu nyimbo za sauti sol,,,basi
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Hahaha kwao ndio Super star
YouTube hana 10ml views
Kenya vituko aisee!
Nkuulize..kati ya charlie puth na chris brown..nani super star marekani..alafu uje kwenye views...jamaa ako 1b views+...bt bado chris brown ndo habari ya mjini
 
Nkuulize..kati ya charlie puth na chris brown..nani super star marekani..alafu uje kwenye views...jamaa ako 1b views+...bt bado chris brown ndo habari ya mjini
chris brown kwisha habari. labda kwako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii ndo habari ya mjini TZ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Vipi huko Kenya??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naweka matatizo chini bababanjuka tuu .where is nameless.
Kwn diamond hajaregea kutoka ulaya...manake kw kujipendekeza hajambo kw wazumngu hajambo

Nameless hyu hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Nimeskia eti mtu anaitwa nyashnki kenya ndiyo super star wa mzki ambaye sijawai hata kumskia,?! huyo nyashnki level yakeni Dogo janja...
Heheee!!vili kuhusu ule wimbo wake wa malaika..sai umefikisha mara ngapi kuuwatch youtube
 
You tube walimjibu dimpoz ilikua ni aibu sana, tangu kipindi icho dimpoz anaonekana kama zwazwa
Ulitarajia wakubali ndio waaibike wao..wacha kuonge ujinga mingi buda...cheza chini brathe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ