Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

you pretend to say so lakini tunajua huwa hamuamini ati kenya imewazidi kwa mali......lol
 
ila wachina ni wabaya. Yaani mnavyoshow off hizo chinese funded projects kumbe mnaumizwa balaa
 
kitu 2 mio
Pop yake na ukubwa wa eneo ili tuitaftie eneo Tz
2 million.its next to Nairobi na rich people live there and has about 10 towns that sprung up because of nairobi..it also has poor rural areas..Without Nai it could be that rich..UN headquarters is in the county
 
we go to tanzania to do charity........we might help them pull out of ldc after 50 years lakini wanatuchukia sana....lol.wanablock hadi kenyans waliopewa kazi kwao huko.......hahahahahaha...............
Tunablock nyie nyang'auzii ni majizi kupitilizaa mko very corrupt na msipobadilika tz mtatuona wabaya sanaaa
 
kitu 2 mio
2 million.its next to Nairobi na rich people live there and has about 10 towns that sprung up because of nairobi..it also has poor rural areas..Without Nai it could be that rich..UN headquarters is in the county
So ndio hii mnaita Nairobi metro hadi estates zake hua mlikua mnapost humu?...

Economic activity gani hufanyika humo zaidi
 
Mnaongea nkm tz hakuna loan..nkuulize lile deni lenu mtalilipa mkitoka ldc ama...
The good thing about our projects is that unlike you people, we either fund them completely or take soft loans. Sasa wachina wamejaza nafasi sgr, na bado wamewapa antique trains na bado wanachukua pesa yaani mi sijui mna hali gani kwa sasa
 
So ndio hii mnaita Nairobi metro hadi estates zake hua mlikua mnapost humu?...

Economic activity gani hufanyika humo zaidi
Tea farming,coffee,Milk,industries in Thika,etc Towns za Kiambu County ndio Nairobi metro juu people there work in Nairobi.Machakos,Kajiado and kiambu are nairobi metro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…