Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana Azam Tv,hamna tv yoyote ya kenya inaweza kushindana nayo,hiyo Citizen tv ambayo ni number 1 kenya haiwez hata ITV a super brand television channel in East africa 4 times in a row.
Hehee!!ushaanza kutaja stations mwitu...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
sijapata kushuhudia mtu akitapika povu na kurudisha chenchi kama huyuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Heheee!!si nyi mlisema ya kwamba kenya maskini ni wengi kushinda tanzani..mezaa hvo vidonge bana
 
Heheee!!si nyi mlisema ya kwamba kenya maskini ni wengi kushinda tanzani..mezaa hvo vidonge bana
yah that's the truth. Ndio maana nasema kama mngekuwa nje ya hio list nisingesumbuka kukujibu ila kama mpo humu, ni ujinga kujivunia kuwa namba sijui ngapi kwenye hii list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…