Na hio ndio the biggest zoo in east African akibisha nimletee link hapaSema na sisi tutasema vitu kibao. Utasema National park sisi tupo na Game reserve na Zoo kibao.
Hapa nakuambia dogo utasanda. Wewe bado ni mshamba sana
View attachment 495472
View attachment 495474
Zoo si national park...maze wewe sasa utasaidikajeSema na sisi tutasema vitu kibao. Utasema National park sisi tupo na Game reserve na Zoo kibao.
Hapa nakuambia dogo utasanda. Wewe bado ni mshamba sana
View attachment 495472
View attachment 495474
Ulikua unaclaim kuna tower proposed ya 60 floors uwongo zako zisipendi manDogo tunampeleka macha mchaka. Hajui vizuri Dar anaisikia kwa wakenya wenzake wazembe.
Story ya infrastructure naona umekanyagiaDogo tunampeleka macha mchaka. Hajui vizuri Dar anaisikia kwa wakenya wenzake wazembe.
Anawaza Tanzania ya 90s hehehehe alafu sio dar tu mikoa yote zaidi ya 27 imeamka na zinajengeka kwa speed zote hehhhehehehe 2017 hiiiiDogo tunampeleka macha mchaka. Hajui vizuri Dar anaisikia kwa wakenya wenzake wazembe.
Kwani Natinal Park ya Nairobi na Zoo ya Dar es salaam tofauti zake ni nini!!? Mbona hakuna tofauti wewe.Ulikua unaclaim kuna tower proposed ya 60 floors uwongo zako zisipendi man
Iyo excuse ya 2017 haitumiki msee..outering inamalika 2017 huku piaAnawaza Tanzania ya 90s hehehehe alafu sio dar tu mikoa yote zaidi ya 27 imeamka na zinajengeka kwa speed zote hehhhehehehe 2017 hiiii
Google meaning ya zoo na national park na siko hapa kukufunzaKwani Natinal Park ya Nairobi na Zoo ya Dar es salaam tofauti zake ni nini!!? Mbona hakuna tofauti wewe.
Dar es salaam Zoo noma sana wewe. Unakaribishwa uje kutembelea uone.
Wewe kwanza niambie iyo 60 floors unasema proposedKwikwikwikwi. Dar es salaam Zoo inakaribiana na Nairobi National park.
By the way Dar kuna Marine Reserves nyie zipo!!?
Check dogo ila sharti usitoe mapovu mdomoni
View attachment 495481 View attachment 495483
View attachment 495485
Nenda kwenye thread husika ukaulize hilo swali. Hapa sio mahali pake. Unaona sasa ulivyo mwehu. Hujui hata swali umeulizia wapi. Kwikwikwikwi. Ila povu hatutaki, uwe mvumilivu tu wakati sindano tunakuchoma.Wewe kwanza niambie iyo 60 floors unasema proposed
Iyo iko mombasa, kwale,lamu etc....Nairobi haiko oceon ...we niambie proposed 60/floors darDar es salaam. Utaipenda tu hata kama unawivu kama wakenya. Wakenya ni washamba sana.
View attachment 495488 View attachment 495489 View attachment 495490 View attachment 495491
LOSERRRRRR BIG LOSERRRRR U ARE A BIG LOSERRRR .UMESHINDWA WEWENenda kwenye thread husika ukaulize hilo swali. Hapa sio mahali pake. Unaona sasa ulivyo mwehu. Hujui hata swali umeulizia wapi. Kwikwikwikwi. Ila povu hatutaki, uwe mvumilivu tu wakati sindano tunakuchoma.
Kwikwikwi nimekuambia wewe ni mwehu. Nenda kwenye thread huzika kisha uliza swali hilo.Iyo iko mombasa, kwale,lamu etc....Nairobi haiko oceon ...we niambie proposed 60/floors dar