Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Andika kiswahili fasaha. Andika hivi: "dhani" "kudhani" "anadhani" "unadhani" nk. Kiswahili kinakupiga chenga.
 
Andika kiswahili fasaha. Andika hivi: "dhani" "kudhani" "anadhani" "unadhani" nk. Kiswahili kinakupiga chenga.
Wewe ukirekebishwa kingereza unateta..Mimi nmetumia sheng na umeelewa kenye nasema mko ligi ya Mombasa na maputo
 
Wewe ukirekebishwa kingereza unateta..Mimi nmetumia sheng na umeelewa kenye nasema mko ligi ya Mombasa na maputo
Hakuna lugha duniani inaitwa sheng labda chang'aa.
Vilevile wewe siyo muingereza wakuweza kusahihisha lugha ya kingereza. Mimi ni mswahili ndio maana nakueleza kiswahili sahihi.
Kwa kifupi: Hujui kiswahili na vilevile hujui kingereza upo upo tu kama tukunyema.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]looh
 
Kuna ki2 huitwa slung na ziko hadi marekani,Nigeria,Jamaica etc na slung ya Kenya ni sheng..kwani hujui slung ni nini?
Unajigambaga hapa na wewe dandaa kabisa
 
Ukisoma history ya kiswahili ilitokea waarabu si ati ni lugha ya babu zako wa zamani...elimika na uwache ufala man
 
Kuna ki2 huitwa slung na ziko hadi marekani,Nigeria,Jamaica etc na slung ya Kenya ni sheng..kwani hujui slung ni nini?
Unajigambaga hapa na wewe dandaa kabisa
Kwikwikwikwikwi . Kwahiyo slung sikuhizi ni lugha!!? Wewe jamaa mshamba sana.

Sikiliza muziki huu upunguze mawazo kwanza
 
Kwikwikwikwikwi . Kwahiyo slung sikuhizi ni lugha!!? Wewe jamaa mshamba sana.

Sikiliza muziki huu upunguze mawazo kwanza
Slang inatumiwa informally kwani tulikua interview ngombe hii...ata tukikaa nawewe mtihani ya kiswahili ntakunyorosha msee
 
Slang inatumiwa informally kwani tulikua interview ngombe hii...ata tukikaa nawewe mtihani ya kiswahili ntakunyorosha msee
Mbona sikuelewi!!? Unaongelea Slung au Slang? Eleweka unachoongelea. Unajitia aibu hapa. Kwikwikwikwikwi
 
Mbona sikuelewi!!? Unaongelea Slung au Slang? Eleweka unachoongelea. Unajitia aibu hapa. Kwikwikwikwikwi
Ni slang msee...wewe juzi ulikua unasema 'bra bra bra' hio pia ndio kiswahili...uachange kujifanya mjanja na wewe pimbi wa mwisho
 
Ni slang msee...wewe juzi ulikua unasema 'bra bra bra' hio pia ndio kiswahili...uachange kujifanya mjanja na wewe pimbi wa mwisho
Umekubali kwamba ulikosea!!? Kama nilivyosema kswahili hujui na kingereza hujui.
Kwanza hilo neno msee maana yake nini. Hebu check hata google inakuzidi Kwikwikwikwi

Juzi ulikua unasema ' bra bra bra hutaki' iyo ndo kiswahili sasa??????? Unijibu
Kwikwikwikwi mbona unapiga chenga kama mwehu!!? Bra bra bra ni kiswahili au kingereza? Na maana yake ni nini!!?
Nimekuuliza swali usijifiche uvunguni kama kunguni wa kibera {Kicheko}
 
Would be happy Kenya, Tanzania, Uganda na Ethiopia ziwe kama Spain, France, Italy na Germany. All developed. Sijataja Somalia, hao wana kazi nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwikwikwikwi mbona unapiga chenga kama mwehu!!? Bra bra bra ni kiswahili au kingereza? Na maana yake ni nini!!?
Nimekuuliza swali usijifiche uvunguni kama kunguni wa kibera {Kicheko}
Bra ni vazi la wanawake na ukaichanganya na kiswahili....wewe uwezi niletea ufala yako hapa..unajifanya kujua na hujui any..
 
Yeah ovious, ila utani lazima uwepo.
Tunashindana2 kufrahishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…