Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

salary wanayochukua wachina 5000 kwenye SGR yenu inauwezo wa kuajiri 15000 kenyans nikuletee ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
asante magu kwa kuchukua hatua ya haraka sana πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

 
Picha za nchi nyingine!!?! Ebu punguza maumivu,hizo ndizo picha za treni zitakazo tumika kwenye SGR yetu.
kashachanganyikiea huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani hawa mwakani hamutawaona hapa
 
maskini economy imezidiwa na madeniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ jubilee tibim

 
Hehehe....sasa hiyo treni wewe unaona kama ni ya kubeba mizigo? Wabongo mnadanganyika kirahisi.
kwan uliambiwa hakutakua na ya kubeba mzigo??? ushauri mwingine onana na daktari kabla hujaja jamii forumπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…