somalians are your northern brothers and they are also part and parcel of kenya.Would be happy Kenya, Tanzania, Uganda na Ethiopia ziwe kama Spain, France, Italy na Germany. All developed. Sijataja Somalia, hao wana kazi nyingi
Somalia kama nchi, si Somali kama one of the Kenyan tribessomalians are your northern brothers and they are also part and parcel of kenya.
sema laki old school sana hilo tren inabidi liwe lapakwa rangi mara kwa marawachina wanadharau sana daaaaaah😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hvi kiakili hapo tofaut ipo kweli hahahahahha😀😀😀😀😀
wachina sio watu wazuri kabisa hawafai
Toa ujinga wewe ina maan wewe unajua kiswahili kuliko mimi. Nenda kajifunze kiswahili ndio uje hapa. Ugolo unaitwa chewing tobacco kwa kingereza. Nenda basi kajifunze hata kwenye google translator.
Hahaha Kenya mjipange kivingine, yani Ilo ni gap kubwa sana ikiisha hyo hamtakua na cha kuongea kuhusu sgr, tutakua tunapiga story na wamorocco na south hao ndio watu tutaongea na kubadilishana uzoefu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mchawi wa Kenya ndie Huyo hehehehhehe
View attachment 495307 View attachment 495308 View attachment 495309 View attachment 495310
we had already set the pace before. while zetu zinafanya tests barabarani, nyinyi bado hamujaweka hata jiwe moja la msingi. btw, sgr yetu inaanza rasmi mwezi wa sita. thats approximately 1 & 1/2months from now. Msa to Nbo. Tieni bidii.Hahaha Kenya mjipange kivingine, yani Ilo ni gap kubwa sana ikiisha hyo hamtakua na cha kuongea kuhusu sgr, tutakua tunapiga story na wamorocco na south hao ndio watu tutaongea na kubadilishana uzoefu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Iyo ni mwiba wtz hatupendi mazoea kuzoeana na nyang'au [emoji13][emoji13]
Hahaha hivo ndio unadani...unadani tutawai heshimu DarSLUM mko ligi ya Mombasa ni cbd tu mmewachapa suburbs na vi2 zingine wako mbelee..Sasa hivi vijana wa Nairobi wanakuja kwa adabu. Wamekuwa wapoleeee sana.
Nadhani sindano hii imewaingia kisawa sawa na dawa imeingia kwenye mishipa.
Ushamba wao sasa umekoma.