Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna cha Google hapo. Nilijua kabisa nikimpatia task anayoweza kupata kwenye google nitampa sifa. Na hapa kelele zingekuwa nyingi kweli.
Wakenya ni hopeless kabisa.
Inawezakuwa hajuu hata maana ya hizo code. Hizo code zinaitwa crashing system code. Don't try them.
sina shaka na wewe...ulishawahi kumtoa kamasi MK254 kwenye masuala ya programming.
 
*****, leo nimepita nyumba ya mtoto wa wa flani hapa mjini. Watu wengine wanaishi wengine wanasurvive . Kudadeki hilo jiko tu dadeki kama Ukumbi wa Mikutano wa Five Star Hotel maeneno 🤣. I’m happy I see stuffs🤣🤣🤣🤣inatosha .



View attachment 873778



View attachment 873780



View attachment 873781



View attachment 873782



View attachment 873783



View attachment 873784



View attachment 873786



View attachment 873787



View attachment 873788
Hii ni oysterbay Au Masaki? ...
Noma sana mkuu inabidi tupambane sana walau tusogee kidogo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Star wa Tz anamwaga mbele ya stage[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
FB_IMG_15375996794903988.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Star wa Tz anamwaga mbele ya stage[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 874187
Hehe ..harmo alishindwa kuzuia hisia... Kenyan girls are wild nnaowajua sasa sijajua at what %.. I once had a kenyan girl very wild..ila wengi si ma pini sana kama wa Tz
 
hahahaha....kumbe siku zote tumekuwa tuki argue na kilaza.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ROM ya 1TB..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... ichoboy01 where are you my friend.... unakosa uhondo huku. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nipo nambie kadoda 😂😂😂😂 naona jamaa anatokwa kamasi maskioni😂😂😂👏👏
 
Zambia wanajenga dual carriage way 300km from ndola to Lusaka kwa $1.2Bln ...hakuna daraja kubwa wala nn je hii pesa hakuna ufisadi hapa?
 
nipo nambie kadoda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona jamaa anatokwa kamasi maskioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
jana mida ya usiku mambo yalikuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].... jamaa alitoa bonge la kituko.

eti katika maisha yako ya kutumia computer ulishawahi kusikia computer yenye RAM ya 1TB(one terabyte)?
 
Hawajatuambia iyo ya dar -kibaha 6lanes ni pesa ngap wanatumia japo ni 19km tu ujenzi unaendelea sahivi
 
jana mida ya usiku mambo yalikuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].... jamaa alitoa bonge la kituko.

eti katika maisha yako ya kutumia computer ulishawahi kusikia computer yenye RAM ya 1TB(one terabyte)?
duhhh ram ya 1tb hapo kachemk may b alimaanisha rom 😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] What's even spacial about HP z820 ! Yani these desktops are just too ordinary. A good desktop should at least support a 1+ TB ROM backed up with a higher graphics processor than that! So mi sioni kitu ya maana hapa.
Haya sasa hawa ndo watu tunaofanya nao majadiliano humu..
Inaonesha we kilaza wa hali ya juu..
 
Back
Top Bottom