Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Man is to error Sasa mnataka kunikula ju ya typing error. I meant ROM not RAM. Na when it comes to computers buda! I was born for it tangu nianze kusoma computer has always been a subject to me & now I am pursuing a course computer technology.
Oh!! God!! Do you know where is ROM located in computer!? And what is the function of ROM in Computer!?
What do you know about 1TB!?
Wewe ni kilaza wa kutupwa. Kijana sisi ni magwiji wa komputa acha wehu. ROM!!? My God!!?
 
Oh!! God do you know where is ROM located in computer!? And what is the function of ROM in Computer!?
What do you know about 1TB!?
Wewe ni kilaza wa kutupwa. Kijana sisi ni magwiji wa komputa acha wehu. ROM!!? My God!!?
imenibidi nichukue screenshots toka kwenye comment zake kuhusu 1TB RAM na ROM then nazisevu kwa matumizi ya baadae....hii ya leo kali ya mwaka.naona hata wakenya wenzake wanaona aibu kuja kumpa company .
 
Oh!! God!! Do you know where is ROM located in computer!? And what is the function of ROM in Computer!?
What do you know about 1TB!?
Wewe ni kilaza wa kutupwa. Kijana sisi ni magwiji wa komputa acha wehu. ROM!!? My God!!?
he don't have even a knowledge on Introduction to computer! he's just making blah blah to some objective issues
 
Nkt! So thats what made you purchase it. Buda. The things to look at are its Graphics,RAM na ROM obviously OS ni 8pro so what I expect you to be bragging about ni type ya untivirus unatumia etc not that!
Mungu wangu!!! Huyu ndiye mwehu hajawahi tokea JF.
Do you know what is ROM looks like!? Don't be stupid in public. Waombe wakenya wenzako wanaojua mambo ya kompyuta wakusaidie. Wapo wakenya wazuri tu kwenye mambo ya kompyuta. Hapa kijana unajiaibisha.
If you want to buy computer we check the following:-
1. Processor speed.
2. Memory space (RAM)
3. HDD space (according yo your activities)
4. If your doing graphics or processing kubwa we use GPU.

Sasa hayo masuala ya ROM unaijua ROM wewe!?
 
Man is to error Sasa mnataka kunikula ju ya typing error. I meant ROM not RAM. Na when it comes to computers buda! I was born for it tangu nianze kusoma computer has always been a subject to me & now I am pursuing a course computer technology.
for you it's more than just a typo....you are ignorant.

we have realized your knowledge about computer is at a zero level,go back to school. stop pretending like you are a knowledgeable person while you don't.
 
Yani duniani kunavituko jamani. Ndiyo maana kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni yupo kwenye uzi huu. Nimegundua. Na huyu jamaa ndiye mjanja wa Nairobi anauwezo wa kujadili na sisi. Sasa tukikutana na wengine si ni kama makondoo tu!!?
Izaiza msinimeza joh Ni mzinga inanileta
 
Iza iza. I meant HDD leo niko maji msijali.
We don't care what you mean. Umeanzia na RAM ukaja ROM sasa hivi HDD of 1TB.
Sasa 1TB of storage ndio unajisifia!?
Kuna HDD za maana. Hako 1TB of storage ndio unakuja kupiga kelele. Stupid.
 
Key board leo itanifanya nijitukane I mean HDD hahahahhahahh Hard drive. Ghai sasa si mtaniimba kama SGR huku
Acha kusingizia keyboard,kama ulikosea ukasema 1TB RAM badala ya 1TB ROM,kwa taarifa yako hamna cha ukweli kati ya hivi viwili!!!. kwaiyo hauna cha kujitetea, kulinda ukunya wako Log out from this Forum Immediately.
 
I think you are drunk, enjoy your offers from men, take care they can kick.....
He/She don't drunk. Ni mjinga na ujuaji wa kijinga. Mimi hata nikiwa nimelewa siwezi kushindwa vitu basic kama hivyo. Mtoto wa primary school ya Tanzania anaweza kuelezea vizuri tu kuhusu ROM, RAM, HDD na 1Tb. Hata Gigy Money anamshinda.
 
Back
Top Bottom