ok. waache waendelee kuiga. sisi ni ma-role models wao.Tunahitaji kujua lugha nyingi na za kimataifa kadiri inavyowezekana. Hapa tunazungumzia English kwa sababu ndiyo lugha iliyoachwa na mtawala wa mwisho wa kikoloni wa nchi yetu, Uingereza. Mtawala wa mwisho angelikuwa mjerumani tungekuwa tunazungumzia kijerumani. Lugha ya kigeni katika mazingira yote ni rahisi kuijua ikifundishwa mashuleni kutoka chini kabisa. Hakuna anayesema Kiswahili hakiitajiki. Kiswahili nacho kifundishwe watu wakielewa kwa ufasaha siyo wale wa siku hizi wanaiga kiswahili cha Kenya ambapo WANAUME wanawaita WABABA na WANAWAKE wanawaita WAMAMA. Ni aibu tupu.. Labda kama msamihati wa Kiswahili sasa umekuwa. Kiswahili ni rahisi kuendelea nacho kwa sababu tunaishi nacho mitaani na kinafundishwa mashuleni. English itumike kama lugha ya kufundishia mashuleni kutoka Chekechea mpaka Vyuo vya elimu ya juu ndiyo tutaielewa vizuri na watoto na wajukuu wa nchi yetu wataielewa vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] The only airport in east Africa. Hizi zingine ni landing area.
Kuna fala mmoja alikua anafananisha Posta na Westland, huu ni ujinga sasa yaan huku ni kushushiana hadhi we saba juu jaribu kuheshimu status ya mwenzako
Nadhani unajua Posta ni nin, Yawezekana ndio best CBD in E.A af unakuja kuleta upuuzi wa best CBD kuconpare na residential area Westy!??
Westland tunaeza ipa UPANGA EAST tuu ukiacha UPANGA WEST
Jiheshimu ww 7 juu
sean paul nice...6th October ~ Major Lazer (Tuborg)
20th October ~ Tarrus Riley (HBR)
20th October ~ Burna Boy (NRG)
1 Dec ~ Sean Paul (Jameson)
nimeuliza kwanini mbona dar kumepoa ivo, ama hamuna pesa?
hahhahhhHAHAAHHAHAHAHAHAHAH duh, like some sort of hot messNairobi
View attachment 872796[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
mm nakwambia bro utake usitake nairobi inaingia mara tatu kwa dar ππππHapo hakuna behemoth Westland s,hakuna kilimani, parklands,ngara,endelea kuumia
alikua anajifurahisha tuπππππKuna fala mmoja alikua anafananisha Posta na Westland, huu ni ujinga sasa yaan huku ni kushushiana hadhi we saba juu jaribu kuheshimu status ya mwenzako
Nadhani unajua Posta ni nin, Yawezekana ndio best CBD in E.A af unakuja kuleta upuuzi wa best CBD kuconpare na residential area Westy!??
Westland tunaeza ipa UPANGA EAST tuu ukiacha UPANGA WEST
Jiheshimu ww 7 juu
Major Lazer, October 6th in Nairobi. Kwanini mbona dar kumepoa ivo???
darislum people always want to console themselves that they are nearly catching up with nairobi city....lol....................5.5 trillion vs 2.2 trillion.......wasee wa darislum hamna pesa wala development..........in 30 years mtakuwa mahali nairobi iko now
hahaha...haawa wasee hawaonangi how ugly this big slum they call dar is......LDC CATEGORY
Posta kwa westy ni utoto[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Kuna fala mmoja alikua anafananisha Posta na Westland, huu ni ujinga sasa yaan huku ni kushushiana hadhi we saba juu jaribu kuheshimu status ya mwenzako
Nadhani unajua Posta ni nin, Yawezekana ndio best CBD in E.A af unakuja kuleta upuuzi wa best CBD kuconpare na residential area Westy!??
Westland tunaeza ipa UPANGA EAST tuu ukiacha UPANGA WEST
Jiheshimu ww 7 juu
nairobi is just classic....hakuna vitu tunaforce.......5.5 trillion cityPosta kwa westy ni utoto[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji81] [emoji81] [emoji81] View attachment 872919View attachment 872920View attachment 872921View attachment 872924
Watajua hawajui......round hii ni westy vs posta hadi kielewekena
nairobi is just classic....hakuna vitu tunaforce.......5.5 trillion city
Nyinyi mnamajina mazuri utasikia Kenya metro city kumbe ni slumkijitonyamaπππhivi haya majina huwa mnatoa wapi
Tanzania "" kazi kazi "" hatuna muda wa kubeba vipochi ,hapa kazi tuYap.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] TUKO NA M PESA NA SPORTPESA WHO THE HELL IS HE!!??meanwhile....[emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123]
haters be like "he studied in kenya.... he is not a tanzanian..blablabla" [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 872785View attachment 872786View attachment 872787