Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana chezea Eldy iko na tower ya 26 floors[emoji123] [emoji91] [emoji91]
 
sina mda kujadiliana na na kilaza.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Apart from Dar ni wapi kwengine kuna airport Tz!?? Ebu leta evidence naweza panda ndege from Kigoma/Mwanza/Arusha/Dodoma to Qatar!! acha ufala hapa.
From Zanzibar International Airport
And Kilimanjaro International Airport,
Unafikiri Tz is like Kenya where Outside Nairobi is hell
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaona sasa vile unaangukanga mtiani. Nani ametaja God hapa? Swali ni simple. Hii peace yenyu yenye sijui ililetwa na uchawi ama nn imewasaidia na nini??
Imetusaidia kuishi kwa Amani na kuwa na maisha bora kuliko Kunyaland tiny Monkeys.
 
Av been to Mombasa Several time, I wonder you guys regard that dirty place a city..
 
wengi washafika na ni vizuri wanawafamisha wenzao ambao bado hawaamini. hawa waliopo hapa, vichwani mwao wanatawaliwa na bangi mbichi na gongo
>>>>

from K-Talk
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
But kenya is only good at signing anything the west or Chinaman bring to table.

Its No wonder we are facing a mountainous debt.

Where has the deal on EPA free market agreement gone?
 
Hivi Are we arguing with People or Monkeys? Mbona hivi vijamaa vya huko kenya ni vijinga kiasi hiki?
 
Wakenya wanazidi kuweweseka. Mara wanasusia uzi huu lakini roho inawasuta wanarudi tena kwenye mpambano.
Since Jan 2017 trending no. 1

Hii inaashiria maisha halisi jinsi wakenya tulivyowashika. Hadi leo hii views zake ni 3.1m. Hii ni noma. Tuendelee...
 
wengi washafika na ni vizuri wanawafamisha wenzao ambao bado hawaamini. hawa waliopo hapa, vichwani mwao wanatawaliwa na bangi mbichi na gongo
>>>>
from k-talk[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
around june/may this year walikuwa wameanzisha kamovement uchwara ka kuandika post za kumlazimisha moderator afunge thread.moderator akaamua kuwapuuza.mpka leo bado thread ina trend.

tumeshawaambia,thread itafungwa rasmi mwaka 2025,kwa sasa wawe wavumilivu.
 
kwenye vyuo vyao wanaenda kusomea how to speak and write english properly. ila sio ku-acquire knowledge. [emoji23]
Hahahaha. Hawa jamaa ni Vichwa maji aisee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Nisome tena kwa makini kijana.

Kwanza nyerere road haina makazi ya watu kwa sasa sijui unaishi wapi wewe hapo nyerere road!!!

Ili eneo lifaulu vigezo vyote vya unplanned ni lazima huduma muhimu zote zikosekane,maji,umeme,barabara,mfumo maji taka.nionyeshe eneo ambalo linakosa hivyo vitu dsm.usione google ni vilaza kuliko wewe.
 

Wana kamovement kengine contrywide ka kuzuia mchele from tz,these guys kwakweli nawapenda[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Wadau samahanini sijui kama ni mbaya mtu kueleza jambo lake. ...
Kuna rafiki yangu kafariki leo ajali ya bodaboda...nlimaliza had chuo miaka michache tu iliopia,nmeumia sana!!tuishi kwa amani mazee
Pole bro...let him R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…