Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Can u list those 20 5* Hotels in Nairobi?
Serena
Kempinsky
Tribe
Dusit 2
Sarova Stanley
Radisson blu
Sankara
Placina
Leico legency
Fairmont
Hemingway
Four points airport
Windsor
Safari park
Giraffe manor
Hilton
Nairobi safari club
Panari
Royal azure
Boma hotel
 
Kuna jamaa humu kasema The Boma ni 5* Hotel, some Kenyans are so dumb,
Pengine inafaa tujielimishe vigezo vya hizi Rating
 
Kuna jamaa humu kasema The Boma ni 5* Hotel, some Kenyans are so dumb,
Pengine inafaa tujielimishe vigezo vya hizi Rating
Noma no five star. Sacha ubishi...... meanwhile na ngoja five star za dar....ndio tuanze kuweka picha Moka kwa moja
 
Noma no five star. Sacha ubishi...... meanwhile na ngoja five star za dar....ndio tuanze kuweka picha Moka kwa moja

Five stars za Dar zipo kama hivi
tapatalk_1537024459857.jpeg
tapatalk_1511278956080.jpeg
 
naja dar december .......nitapendelea kuenda kutembelea sehemu ya mbagala,spenso,mwananyamala ,tandale na changombe kuhutubia watanzania..........msinirushie mawe
Nikukumbushe hapa jf majuzi kuna mkenya alipost kuwa anakuja Tanzania akiwa kaweka na pass zote na hela ya tz,yeye na wakenya wote mkafurahia kuwa sasa ukweli utajulikana akasema atapiga picha dar yote na kuleta hapa jf ila hadi Leo kimya naona kapotelea tz baada ya kutokuamini kuona jijikubwa siyo kama nairobi
 
Back
Top Bottom