Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
jaman acheni ukatuni ni ivi kwa hizo footbridge mmetupita kama kweli mnazo zaidi ya 20 kwa nairobi lakini twahitaji kuziona kama uthibitisho na kingine mkubali na nyie kama slum nyingi ama mazingira mabovu yapo zaidi nairobi na wananchi wengi wanaishi na umaskini wapo uko kwenu msikatae.....vitu vipo wazi na mnavijua sisi huku maeneo ya uswahilini yapo lakini hayalingani na yenu nyie mmepitiliza acheni kubisha kizembe
 

nimegive up naye. wacha niongee na waTz walio na akili
 

i have not asked you to shift your attention towards me.so sorry for feeling unhappy regarding what i post.

ignore me, otherwise i will continue to post any screenshot from kenya so long as the content within doesn't go against the rules and regulations governing jamiiforum members.
end of story.

achana na Mimi ndg. usilazimishe kujuana hata kama sote ni wabongo.
ichoboy na annael nawasabahi.
 

upande wa footbridge nadhani wakenya wametuzidi.nasema hivo kwa sababu upande wa thika road highway (barabara ambayo binafsi nimeitumia mara nyingi),wanazo footbridge kadhaa.

ila kwangu hili sio swala la kujivunia sana kwao,kwa sababu tunazo project za ujenzi wa barabara jijini dar ambazo zitaenda kuongeza uwingi wa footbridges.ni swala la mda tu.
 
Askari yeyote anaye umia unapomuua adui hafai kuwa askari. Usipomuua adui yako atakuua wewe.
Mbinu zozote tumia ili adui yako afe. Huyu mwenzetu naona hawezi kuingia vitani na haijui vita yetu ilianza lini. Kwahiyo hafai kuwa askari mwenzetu siyo wa kuamini.
 
ndio maana nimemwomba kistaarabu tu anipuuze au aachane na mimi.akiendelea kunifatilia ataaumiza nafsi yake maana sitarajii kuacha leo au kesho kuweka screenshots za nairobi.

tupo hapa ki-strategic zaidi,huyu ndg halijui hilo.sisi tupo sambamba na hii thread toka siku ya kwanza na tutaenda nayo hivo kila siku.

watu wa kuzuka wanaokuja kutukatisha tamaa kwa kujifanya wanamuonea sana huruma adui hawatafanikiwa.
 
Tungu tuanze hapa watu wengi wameelewa na kuwaona hawa wenzetu kumbe wa kawaida sana. Watu wengi wamejifunza tambo zote za wakenya zimeisha. Wamekuja kutoa matusi na yenyewe yamezimwa. Wanajaribu kutupia picha za sehemu tofauti, tumewaumbua.

Wamejaribu kusema umasikini tumeonesha jinsi kenya wanavyoishi kama nguruwe. Umewaonesha jinsi nairobi ilivyo na matope.

Bahati nzuri sisi tunasema ukweli. Kama matope Nairobi yapo kweli.

Sasa huyu mwenzetu anaanza kuwahurumia hawa wakenya. Je amewahi kuona mkenya akisifia Tanzania. Vyombo vyao vyote vya habari ni kuitukana Tanzania na kuichafu. Sasa hawa wanyama ni wakuonea huruma. La hasha ni kuwapiga popote uonapo panauma.
 
Hahahahaha nimependa ulivohitimisha hapo chini.umehitimisha kimedani zaidi.

"adui unampiga popote ambapo unahisi patamuuma"
screenshots zote ninazoweka hapa zina maslahi mapana na maisha ya kila siku ya wakenya masikini hususani wale wanaoishi mitaa ya jiji la nairobi.na ndio maana unaona wakenya wa jf inawauma sana.

sasa hivi nimejikita ktk screenshots za matukio ya kihalifu yanayotokea kila siku ktk viunga vya Nairobi.
 
Yes. Ndiyo hiyo inaitwa battle. Inasaidia sana kukuza sector kibao zetu. Yaani tunawakung'uta mpaka wanyooshe mikono.
 
Wewe usizuge hapa siumekubadi defeat mwenyewe au hahaahhahahahaha usijifanye kuzuga hapa twende kazi nakusubiria Leo hutoki humu ndani mpaka tumalize kila kitu hahhahah maana kila sehemu munagonga mwamba hahhahaah sasa hutoki humu mpaka tumalize
 
nimegive up naye. wacha niongee na waTz walio na akili
Unazuga enhhhhhh hahahhah hamutoki humu mpaka muingize mombasa na kisumu ziwasaidie hahahhahaha sijui kisumu mutaingiza nn hahhahahaha twende kazi munalia muda wote tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kabisa
Kuna watu hawajui hii vita ilianzaje!!

Humu kulitokea kejeli nyingi za wakenya
Miaka ya 2010 wakenya waliingia humu jf kuleta kejeli Madharau sana kwa Watanzania

ilikuwa vita

Kwahiyo kama umeona Sivyo mfuate Pm
hawa siyo Wakujikweza kwao

Tazama kule kwemye Forums yao wanavyo watimua Watanzania!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…